Diamond amvisha pete Zari, ndoa kufungwa tarehe 1 Mei

Kama haumii kwanini wale misukule yake wanapata guts ya kumkalia kooni zari na chibu utazani anawadai?? Na ile misukule inafahamiana naye personally asituzuge hapa.Kuumia anaumia sana akikumbuka alivokua anajishau eti ndoa uwanja wa taifa.
he he he uwanja wa taifa ni mpira, maadhimisho na kuaga miili ya watu maarufu...
 
Sidhani Kama Wema anaumia. Nahisi kwake yeye ni Kama ule msemo usemao kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi. Yeye ndo kaacha, I believe alikuwa na plan yake. Hakuacha kiolelaolela.

kwanini sasa anahangaika na revenge/mashindano kama haumii
Dai alienda Ug white part nae akatangaza kwenda kwa Chamelion
kajipenyeza wee kwa ivan, kutokuumia sio kweli hata ungekua ni wewe ungeumia mnoooo
 
Mie nasubiria ndoa ya paris!!p
 
Diamond alisema kipindi kile kuwa hataowa coz akiowa atapomoromoka kimusic,sasa maneno yanaumba akiowa tu ndo mwisho wa kazi yake ya kuimba yake
 
Diamond alisema kipindi kile kuwa hataowa coz akiowa atapomoromoka kimusic,sasa maneno yanaumba akiowa tu ndo mwisho wa kazi yake ya kuimba yake

Labda muda umefika wa kufany shughuli zingine na kuimba kuwepo kuwepo.

Namwaminia sana kijana yule hakosi mipango....interview moja ya Romyjons ilinijuza mengi juu yao. hawajalosti kabisa wanapanga vizuri vyao huku wakijua wafanyalo.
 
Ivi waislam huwa wanafunga ndoa mwanamke akiwa na mimba? Si nasikia eti wamwoa na kiumbe wa tumboni au?

Nikweli usemayo katika sheria ya dini ya kiislam hupaswi kuoa ilhali mwanamke akiwa mjamzito..wapaswa kusubiri mpaka atakapojifungua ndio ndoa ifungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…