ha ha ha ndoa ishafungwa wangoja ya uwanja wa taifa?
Bora akiumia Wema ataeleweka na hata mimi nitamwelewa lakini maajabu ya dunia hii c ajabu kuna wana-JF hapa watakaoumia! Na ni bora basi wangekuwa ni mashabiki wa Wema... kuna kadha wa kadha waliokuwa wanapiga ramli na kuita hiyo ni drama inayochezwa na akina Ivan... yaani mtu anamtoa mke wake akamegwe hadi kupigwa mimba kwa ajili ya drama! Hawa wapiga ramli nao si ajabu ukakuta nao wanaumia...
Kwa hiyo ndoa tayari au???
Ahsante mpenzi kwa kuniita.Naona watu wanaitana kwa team...
Na wewe ukamwaga mboga
πππ
Nakwambiiia....hapa hata kama simfagilii kimziki ubuyu wake nautafuna kama kawa na maji nashushia.
Ahsante mpenzi kwa kuniita.Naona watu wanaitana kwa team...
Na wewe ukamwaga mboga
πππ
Nani huyo kaita kwa team hhhhhaaaaa
Hahahaaa,jamani umenichekesha sana.
Eti ndio tayari au? Uwiiii
Weeewe unanitafutia ubaya eeh? Mwenye macho na haambiwi tazama.
Haya mambo yanakera sana.
Avemaria my girl njoo huku ujionee mambo..
Hahahaaa,mjini patamu sana.
Wema nahisi kaumia balaaaa hhhaaa
Utasubiri sana.Ndoa na kiumbe tumboni?!
mmmmh!!! Au siku hizi wanaruhusu tu?
Mi bado nipo njia panda hata kwenye pitapita zangu nimesikia kuwa ile sio ndoa sijui ni idea gani ya Zari vile.
Nasubiri iwe confirmed maana mmmmh ni shiiiidah aisee!
Nakwambiiia....hapa hata kama simfagilii kimziki ubuyu wake nautafuna kama kawa na maji nashushia.
Duuu ndio ilikua tarehe moja etii