Eti wanatangaza amani huku wameficha mapanga,ha ha hii ni kali>
Diamond kawa bausa lol na suruali zake za rangii nae akuee haachii,hongera zaooo
Promo ya kijanja
hahahaha......Ana kadi ya CDM..
We ushasikia tena misong yake.?Hahaaaa umenifurahisha kapigwa ban na clouds
Hii nyimbo kumbe imefanyikia kwa Majani mi nikajua imefanyikia Mwanalizombe kwenye Studio yake ni nyimbo nzuri hata hivyo
Imefanyika studio kwake Mwanalizombe majani kamualika kama producer
Imefanyika studio kwake Mwanalizombe majani kamualika kama producer
Imefanyika studio kwake Mwanalizombe majani kamualika kama producer
Nami nikiiisikiliza nitalia...
Mkuu kama hujui bora unyamaze kuliko kupotosha,Khalfan Majani kagonga beats,kuanzia chords,kick,snare,vinanda na ku-engineer hiyo track ndani ya Bongo Records,hiyo ni bongo records baada ya major renovation,Album ya Ngwea yenye tracks 8 inakuja,sijui pia mtasema imetengenezwa ndani ya Surround sound na kina tudy na ema the boy ama mtaibania kisa imepikwa na P ndani ya bongo rec!!
Jay kabebwa na diamond,Chorus nzuri lkn verses za kizamani. jay kaishiwa amebaki kujitetea tuu ooh sina ngoma!.. Kama huna si uweke cheti tuone kama upo negative!
Ngoma kaifanya P ndani ya studio mpya za Prof J za Mwanalizombe.
Anayesema j kaisha huyo ajui muziki