Diamond Amwaga Machozi Studio

Diamond Amwaga Machozi Studio

Diamond kawa bausa lol na suruali zake za rangii nae akuee haachii,hongera zaooo

Hakika suruali za rangi rangi mwanaume mwezangu akivaa huwa sitaki hata kuongozana nae
 
Hii nyimbo kumbe imefanyikia kwa Majani mi nikajua imefanyikia Mwanalizombe kwenye Studio yake ni nyimbo nzuri hata hivyo
 
Imefanyika studio kwake Mwanalizombe majani kamualika kama producer

Mkuu kama hujui bora unyamaze kuliko kupotosha,Khalfan Majani kagonga beats,kuanzia chords,kick,snare,vinanda na ku-engineer hiyo track ndani ya Bongo Records,hiyo ni bongo records baada ya major renovation,Album ya Ngwea yenye tracks 8 inakuja,sijui pia mtasema imetengenezwa ndani ya Surround sound na kina tudy na ema the boy ama mtaibania kisa imepikwa na P ndani ya bongo rec!!
 
Imefanyika studio kwake Mwanalizombe majani kamualika kama producer

Kumbuka Prof Jay alikuwa na beef na P baada ya beat ya Nikusaidiaje kuuziwa Chameleon pasipo Jay kujua na Chameleon akatoa Bomboclat kwa beat ile ile,wakaelewena na chameleon ndio wakatoa ndivyo isivyo lakini Jay akawa bado na beef na P hadi mwaka jana wakapatana na sasa wapo poa na akaenda Bongo Record kupiga mkono!!
 
Huu wimbo mwenzenu nimeusikia leo asubuhi (kwa mara ya kwanza)na nahisi ni huko huko kwenye kituo cha Mawingu. Ulinigusa hadi nikaja ku-google ndio nikakuta wanajamvi mlishauvutia uzi. Kwakweli ni wimbo mzuri.
 
Mkuu kama hujui bora unyamaze kuliko kupotosha,Khalfan Majani kagonga beats,kuanzia chords,kick,snare,vinanda na ku-engineer hiyo track ndani ya Bongo Records,hiyo ni bongo records baada ya major renovation,Album ya Ngwea yenye tracks 8 inakuja,sijui pia mtasema imetengenezwa ndani ya Surround sound na kina tudy na ema the boy ama mtaibania kisa imepikwa na P ndani ya bongo rec!!

Ngoma kaifanya P ndani ya studio mpya za Prof J za Mwanalizombe.
 
Humu jamvini kuna vilizi aisee, with hawajasikia wimbo wanajiandaa kulia, sijui watajikumbusha viboko vya shuleni!!!
 
Jay kabebwa na diamond,Chorus nzuri lkn verses za kizamani. jay kaishiwa amebaki kujitetea tuu ooh sina ngoma!.. Kama huna si uweke cheti tuone kama upo negative!

Kama we si shetani basi shetani ni mjomba wako!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wimbo mkali kinoma sema haujapata promo ya kutosha toka kwa wenye tasnia ya burudani Clouds Fm
 
Ngoma kaifanya P ndani ya studio mpya za Prof J za Mwanalizombe.

Mkuu Bado kumbukumbu zako si za kweli,Wimbo huo ulifanyika kuanzia Desemba 2013 ndani ya Bongo record baada ya ukarabati mpya,zipo za kina Fid,Mavoko,AY,NGWEA etc sema P hajazitoa,Mwanalizombe imekamilika February ndio Jay akaongea na Villy ili awe producer wa Mqanalizombe,pia kumbuka P hafanyi kazi nje ya studio yake!!
 
dah lakini alichosema J kiwe kweli au c kweli lakini bado ukweli ni kwamba Diamond hii ngoma kaimba kihisia ile mbaya
 
Back
Top Bottom