Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona sijaona alipomtaja wema?
Eti kwani upara kitu gani.........watu wana mambo duhh
huvi diamond ana miaka mingapi mwenye kujua
Kila siku ana miaka 24 kama wema sepetu ila kwa mujibu wa wambea wa muji anagonga 28 au tisa, maana alianza mziki akiwa ana 22 mwak 2009
na kila mwaka anasherekea bethidei ila miaka ni ile ile......
Hahhhahhhahhha siku akifanya bezdei naomba unikumbushe atasema ana miaka mingapii
wewe kwa umbea ni hatari....Hahhhahhhahhha siku akifanya bezdei naomba unikumbushe atasema ana miaka mingapii
wewe kwa umbea ni hatari....
Kwani unadhani mimi ninapingamizi katika hilo....sina hata..maana kila thread ya umbea umbea nakukuta bi Mkubwa unatupia vitu vya kutisha!!aminiaKwa umbea hapa ndio umefika ndio nyumbani kwao
wewe kwa umbea ni hatari....
Khaa!!!na nyinyi ndo walimu wenyewe!mwanamke umbea kusutwa suna
mwanamke umbea kusutwa suna
Khaa!!!na nyinyi ndo walimu wenyewe!
Kwa hiyo we mwanafunzi kaa chini tukupe darasa maana nawe dalili zimeanza za umbeaa muda su mrefu utahitimu
Kwa kweli naogopa kusutwa!