Diamond ana ugomvi na vyombo vya habari?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Nimeshangaa, Nimesikitishwa Na nimehuzunishwa Kwanini Vyombo Vya habari Vikubwa Tanzania Kama ITV,TBC,STAR TV,CLOUDS TV,Na vingine Vimekaa Kimya Katika Kureport Tukio alilofanya Diamond Leo

TAARIFA YA HABARI YOTE HAMNA taarifa Hata Kidogo kuhusu alicho Fanya Diamond?

Hivi kuwapa watu Zaidi Ya Elfu 1 kadi za Bima Mchezo? Hakuna mbunge wala Rais Alie wahi Fanya Hivyo!

Kutoa Boxer Pikipiki 20 ni kitu kidogo?

What went Wrong?

Niliexpect taarifa Ya Habari leo Diamond angetawala lakini vimedia vidogo vidogo ndio vimereport

Duuuu
 
Ni kweli amefanya jambo jema kwa kila mpenda maendeleo... Lakini suala la vyombo vya habari baadhi kutokuripoti nafikiri ni utaratibu tu... Pengine kila chombo kina sababu zake na utaratibu wake, hata hivyo siyo lazima kama wenye chombo wameona haina sababu kwa wao kutoa taarifa! Lakini pamoja ya hayo ukweli utabaki pale pale kuwa Dunia nzima imeshuhudia nini kijana kafanya... Pongezi kwake!
 
Umetaja "clouds TV" au macho yangu?
 
Tunahitaji BUNGE LIVE,Report za CAG,Matokeo ya Tafiti kubwa kwa faida ya watu milioni 50.
Bakhressa kila siku anatoa,hivyo vyombo si vitakuwa vinamtaja yeye tu,tuache upuuzi kwenye mambo ya msingi na kushabikia ulofa ulofa.
 
Nasikia freemason ndo wamesema atoe hivyo la sivyo watamkula wao. 😛😛
 
Mm Ni mdau wa TBC, Leo waitangaz hiyo habari ya Diamond, na imenifurahisha binafsi, hata watangazaji wameisifia Sana, wakisema jisi utoavyo ndivyo upatavyo baraka zaidi.
However, si Kila ukisaidia lazma utangaze, wanadam hata wasipojya ila Mungu akijua Ina maana Zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…