ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Nimeshangaa, Nimesikitishwa Na nimehuzunishwa Kwanini Vyombo Vya habari Vikubwa Tanzania Kama ITV,TBC,STAR TV,CLOUDS TV,Na vingine Vimekaa Kimya Katika Kureport Tukio alilofanya Diamond Leo
TAARIFA YA HABARI YOTE HAMNA taarifa Hata Kidogo kuhusu alicho Fanya Diamond?
Hivi kuwapa watu Zaidi Ya Elfu 1 kadi za Bima Mchezo? Hakuna mbunge wala Rais Alie wahi Fanya Hivyo!
Kutoa Boxer Pikipiki 20 ni kitu kidogo?
What went Wrong?
Niliexpect taarifa Ya Habari leo Diamond angetawala lakini vimedia vidogo vidogo ndio vimereport
Duuuu