Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Jamaa kama anamtaka mimi nitamkonect mimi nipo karibu na huyu demuSasa mkuu unampiganiaje hapo ili ampate, au unataka kua mshenga ? Hata sijaelewa
Mimi mwanaume wa mkoaniMleta mada wewe ni mwanamke? Au mwanaume wa dar?
Mfuate diamond mwenyewe Sasa ukamueleze basi, ilikua haina haja hata ya kuleta huu Uzi wako hukoJamaa kama anamtaka mimi nitamkonect mimi nipo karibu na huyu demu
kwa bongo Msanii unavyokuwa na demu mkali ndo unavyozidi kuuza zaidi kazi zako
Unaweza kuta k yake ina smell...vp ww ulishawahi kumpapasa...labdaJamaa kama anamtaka mimi nitamkonect mimi nipo karibu na huyu demu
kwa bongo Msanii unavyokuwa na demu mkali ndo unavyozidi kuuza zaidi kazi zako
Aya Diamond ashakusikia dada...ntakupa ID yake umu PM, ili myaweke sawa...mana inaonekana unampenda sana....ila wadada wengi mnajisogeza kwa mshikaji msukumwe figo ili mpate mitaji.....Nimeona watu wameanza kumponda diamond kuhusu demu aliyekuwa naye sasa hivi eti wanasema ni mbaya sijajua kama ni mke au anasafisha tu rungu kama alivyofanya kwa wengine
Katika pitapita zangu leo nimemuona huyu demu mkali kuliko wote east afrika sijui kama mtu atapinga kwa picha hizi demu wa rwanda naona kama anafaa kuwa mke wa diamond tumpiganie jamaa yetu ampate huyu demu aache uzinzi afuate nyayo za kaka yetu AY
View attachment 951120View attachment 951121View attachment 951122View attachment 951124View attachment 951126View attachment 951128
duh...... kazi kufuatilia wenzako!Nimeona watu wameanza kumponda diamond kuhusu demu aliyekuwa naye sasa hivi eti wanasema ni mbaya sijajua kama ni mke au anasafisha tu rungu kama alivyofanya kwa wengine
Katika pitapita zangu leo nimemuona huyu demu mkali kuliko wote east afrika sijui kama mtu atapinga kwa picha hizi demu wa rwanda naona kama anafaa kuwa mke wa diamond tumpiganie jamaa yetu ampate huyu demu aache uzinzi afuate nyayo za kaka yetu AY
View attachment 951120View attachment 951121View attachment 951122View attachment 951124View attachment 951126View attachment 951128
poooUyo anakitu gani cha maajabu chenye wengine wanawake hawana?? Labda mkorogo na mchina kwa wingi .... kweli bongo watu wente akili adimu sana .. mtu mzima utakuta wew ni baba wa watoto na mme wa mtuu eti uyo demu ni mzuri .. mtu kafeki kila kitu mweee.
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
kumbeJamaa kama anamtaka mimi nitamkonect mimi nipo karibu na huyu demu
kwa bongo Msanii unavyokuwa na demu mkali ndo unavyozidi kuuza zaidi kazi zako