Diamond anafaa kuwa na demu kama huyu

Diamond anafaa kuwa na demu kama huyu

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Nimeona watu wameanza kumponda diamond kuhusu demu aliyekuwa naye sasa hivi eti wanasema ni mbaya sijajua kama ni mke au anasafisha tu rungu kama alivyofanya kwa wengine
Katika pitapita zangu leo nimemuona huyu demu mkali kuliko wote east afrika sijui kama mtu atapinga kwa picha hizi demu wa rwanda naona kama anafaa kuwa mke wa diamond tumpiganie jamaa yetu ampate huyu demu aache uzinzi afuate nyayo za kaka yetu AY
Screenshot_2018-11-30-08-36-42-1.png
Screenshot_2018-11-30-08-39-05-1.png
Screenshot_2018-11-30-08-38-09-1.png
Screenshot_2018-11-30-08-33-06-1.png
Screenshot_2018-11-30-08-33-56-1.png
Screenshot_2018-11-30-08-35-31-1.png
 
Wowowo hilo bado kuna mtu anasema mbaya ??
katumia kigezo gani ?
 
Uyo anakitu gani cha maajabu chenye wengine wanawake hawana?? Labda mkorogo na mchina kwa wingi .... kweli bongo watu wente akili adimu sana .. mtu mzima utakuta wew ni baba wa watoto na mme wa mtuu eti uyo demu ni mzuri .. mtu kafeki kila kitu mweee.

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mkuu unampiganiaje hapo ili ampate, au unataka kua mshenga ? Hata sijaelewa
 
Jamaa kama anamtaka mimi nitamkonect mimi nipo karibu na huyu demu
kwa bongo Msanii unavyokuwa na demu mkali ndo unavyozidi kuuza zaidi kazi zako
 
Mfuate diamond mwenyewe Sasa ukamueleze basi, ilikua haina haja hata ya kuleta huu Uzi wako huko
 
Mbona ni wa kawaida tu zaidi naona u fake ndo mwingi
 
Nimeona watu wameanza kumponda diamond kuhusu demu aliyekuwa naye sasa hivi eti wanasema ni mbaya sijajua kama ni mke au anasafisha tu rungu kama alivyofanya kwa wengine
Katika pitapita zangu leo nimemuona huyu demu mkali kuliko wote east afrika sijui kama mtu atapinga kwa picha hizi demu wa rwanda naona kama anafaa kuwa mke wa diamond tumpiganie jamaa yetu ampate huyu demu aache uzinzi afuate nyayo za kaka yetu AY
View attachment 951120View attachment 951121View attachment 951122View attachment 951124View attachment 951126View attachment 951128
Aya Diamond ashakusikia dada...ntakupa ID yake umu PM, ili myaweke sawa...mana inaonekana unampenda sana....ila wadada wengi mnajisogeza kwa mshikaji msukumwe figo ili mpate mitaji.....
 
Nimeona watu wameanza kumponda diamond kuhusu demu aliyekuwa naye sasa hivi eti wanasema ni mbaya sijajua kama ni mke au anasafisha tu rungu kama alivyofanya kwa wengine
Katika pitapita zangu leo nimemuona huyu demu mkali kuliko wote east afrika sijui kama mtu atapinga kwa picha hizi demu wa rwanda naona kama anafaa kuwa mke wa diamond tumpiganie jamaa yetu ampate huyu demu aache uzinzi afuate nyayo za kaka yetu AY
View attachment 951120View attachment 951121View attachment 951122View attachment 951124View attachment 951126View attachment 951128
duh...... kazi kufuatilia wenzako!
 
Uyo anakitu gani cha maajabu chenye wengine wanawake hawana?? Labda mkorogo na mchina kwa wingi .... kweli bongo watu wente akili adimu sana .. mtu mzima utakuta wew ni baba wa watoto na mme wa mtuu eti uyo demu ni mzuri .. mtu kafeki kila kitu mweee.

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
pooo
 
Back
Top Bottom