ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hapa ndipo misukule mlipofika. Kuona kuwa kitu kizuri kinastahili kumilikiwa na bwana wako tu si wewe! Kweli ukishakuwa mtumwa wa mawazo unaweza kujitolea uzikwe na bwana yako!Nimeona watu wameanza kumponda diamond kuhusu demu aliyekuwa naye sasa hivi eti wanasema ni mbaya sijajua kama ni mke au anasafisha tu rungu kama alivyofanya kwa wengine
Katika pitapita zangu leo nimemuona huyu demu mkali kuliko wote east afrika sijui kama mtu atapinga kwa picha hizi demu wa rwanda naona kama anafaa kuwa mke wa diamond tumpiganie jamaa yetu ampate huyu demu aache uzinzi afuate nyayo za kaka yetu AY
View attachment 951120View attachment 951121View attachment 951122View attachment 951124View attachment 951126View attachment 951128
dah! huyu mtoto mkali Mkuu.Wowowo hilo bado kuna mtu anasema mbaya ??
katumia kigezo gani ?
Naunga mkono hoja, Wanawake wa Kinyarwanda ndio wanaoshika number mbili kwa wanawake warembo barani Africa, number moja ikishikiliwa na Wahabeshi, na kwa Tanzania, the top beauties ni Wahangaza, tatizo lao kubwa ni moja tuu, uzuri huo ni kwa kuwaangalia tuu, lakini sio kwa sababu ni wateke sanaNimeona watu wameanza kumponda diamond kuhusu demu aliyekuwa naye sasa hivi eti wanasema ni mbaya sijajua kama ni mke au anasafisha tu rungu kama alivyofanya kwa wengine
Katika pitapita zangu leo nimemuona huyu demu mkali kuliko wote east afrika sijui kama mtu atapinga kwa picha hizi demu wa rwanda naona kama anafaa kuwa mke wa diamond tumpiganie jamaa yetu ampate huyu demu aache uzinzi afuate nyayo za kaka yetu AY
View attachment 951120View attachment 951121View attachment 951122View attachment 951124View attachment 951126View attachment 951128
Hahaha...Mleta mada wewe ni mwanamke? Au mwanaume wa dar?