Diamond anafaa kuwa na demu kama huyu

Diamond anafaa kuwa na demu kama huyu

Sema huyu jamaa hawa watoto ana watafuna sana kudadadeki.
 
Write your reply...
sema yule dogo mi simuelewagi, mondi ni kipofu bado hajaweza kuona vizuri..
 
Nimeona watu wameanza kumponda diamond kuhusu demu aliyekuwa naye sasa hivi eti wanasema ni mbaya sijajua kama ni mke au anasafisha tu rungu kama alivyofanya kwa wengine
Katika pitapita zangu leo nimemuona huyu demu mkali kuliko wote east afrika sijui kama mtu atapinga kwa picha hizi demu wa rwanda naona kama anafaa kuwa mke wa diamond tumpiganie jamaa yetu ampate huyu demu aache uzinzi afuate nyayo za kaka yetu AY
View attachment 951120View attachment 951121View attachment 951122View attachment 951124View attachment 951126View attachment 951128
Hapa ndipo misukule mlipofika. Kuona kuwa kitu kizuri kinastahili kumilikiwa na bwana wako tu si wewe! Kweli ukishakuwa mtumwa wa mawazo unaweza kujitolea uzikwe na bwana yako!
 
Sasa ww unataka awe naye mala ya ngapi huyo si ni kate ashatembea naye toka 2012
 
BREAK NEWS

America baresidents gorge bushes deaded at american
 
Nimeona watu wameanza kumponda diamond kuhusu demu aliyekuwa naye sasa hivi eti wanasema ni mbaya sijajua kama ni mke au anasafisha tu rungu kama alivyofanya kwa wengine
Katika pitapita zangu leo nimemuona huyu demu mkali kuliko wote east afrika sijui kama mtu atapinga kwa picha hizi demu wa rwanda naona kama anafaa kuwa mke wa diamond tumpiganie jamaa yetu ampate huyu demu aache uzinzi afuate nyayo za kaka yetu AY
View attachment 951120View attachment 951121View attachment 951122View attachment 951124View attachment 951126View attachment 951128
Naunga mkono hoja, Wanawake wa Kinyarwanda ndio wanaoshika number mbili kwa wanawake warembo barani Africa, number moja ikishikiliwa na Wahabeshi, na kwa Tanzania, the top beauties ni Wahangaza, tatizo lao kubwa ni moja tuu, uzuri huo ni kwa kuwaangalia tuu, lakini sio kwa sababu ni wateke sana

Sasa kama hitaji ni mambo fulani, mabingwa Africa ni Baganda, sasa kama kijana wetu ameisha kaa Baganda na akashindwa, mwanamke hata awe mzuri vipi, bado atashindwa.

Naunga mkono kuwa na mwanamke mrembo kama huyu, but when it comes kwenye uzuri wa mke ni tabia, kwa sisi ngozi nyeusi za Bongo, tunahitaji wagumu ndio tutalia, hawa wateke sana, hawataweza vumilia pilika zetu.
Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!. Black Inside Out & Black Out, Inside Red!. - JamiiForums
P
 
Huyo mtoto yuko vzur, Sema Tatizo ana USO mfupi.
 
Back
Top Bottom