fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Uzuri wa mwanamke ni "subjective" machoni kwa mwanaume.Nimeona watu wameanza kumponda diamond kuhusu demu aliyekuwa naye sasa hivi eti wanasema ni mbaya sijajua kama ni mke au anasafisha tu rungu kama alivyofanya kwa wengine
Katika pitapita zangu leo nimemuona huyu demu mkali kuliko wote east afrika sijui kama mtu atapinga kwa picha hizi demu wa rwanda naona kama anafaa kuwa mke wa diamond tumpiganie jamaa yetu ampate huyu demu aache uzinzi afuate nyayo za kaka yetu AY
View attachment 951120View attachment 951121View attachment 951122View attachment 951124View attachment 951126View attachment 951128
Soma ID yake mleta uzi. Huyu wa mkoaniWanaume wa dar utawatambua tu
Jamaa kama anamtaka mimi nitamkonect mimi nipo karibu na huyu demu
kwa bongo Msanii unavyokuwa na demu mkali ndo unavyozidi kuuza zaidi kazi zako
We nae hili ni celebrities nenda Siasa huko ukatoe povu kwa wastaafu wenzeo.Watu wanajadili masuala muhimu ya maisha we unatuletea mambo ya demu sijui wa domo! Hayo mambo wapelekee kina hamoniza ndio wanaweza kumtafutia demu
Ona nae huyu!!! We na domo lenu moja tu...We nae hili ni celebrities nenda Siasa huko ukatoe povu kwa wastaafu wenzeo.
Akijibu hili nitagMleta mada wewe ni mwanamke? Au mwanaume wa dar?
Amewadhalilisha wahehe huyu jamaa,unaanzaje kumpigania mwenzako apate mwanamke mrembo uliyempenda wewe unajuaje kama anapenda sampuli hizo? Kama umempenda wewe basi pambana umpate.Naanza kuona aibu kuishi Iringa.
Nimeona watu wameanza kumponda diamond kuhusu demu aliyekuwa naye sasa hivi eti wanasema ni mbaya sijajua kama ni mke au anasafisha tu rungu kama alivyofanya kwa wengine
Katika pitapita zangu leo nimemuona huyu demu mkali kuliko wote east afrika sijui kama mtu atapinga kwa picha hizi demu wa rwanda naona kama anafaa kuwa mke wa diamond tumpiganie jamaa yetu ampate huyu demu aache uzinzi afuate nyayo za kaka yetu AY
View attachment 951120View attachment 951121View attachment 951122View attachment 951124View attachment 951126View attachment 951128
hapo zote flat screen hamna mkia hapokatumia kigezo gani ?
[emoji33] [emoji33] [emoji33]Mbona ni wa kawaida tu zaidi naona u fake ndo mwingi