Diamond anafaa kuwa na demu kama huyu

Diamond anafaa kuwa na demu kama huyu

Nimeona watu wameanza kumponda diamond kuhusu demu aliyekuwa naye sasa hivi eti wanasema ni mbaya sijajua kama ni mke au anasafisha tu rungu kama alivyofanya kwa wengine
Katika pitapita zangu leo nimemuona huyu demu mkali kuliko wote east afrika sijui kama mtu atapinga kwa picha hizi demu wa rwanda naona kama anafaa kuwa mke wa diamond tumpiganie jamaa yetu ampate huyu demu aache uzinzi afuate nyayo za kaka yetu AY
View attachment 951120View attachment 951121View attachment 951122View attachment 951124View attachment 951126View attachment 951128
Uzuri wa mwanamke ni "subjective" machoni kwa mwanaume.

Mzuri kwako anaweza kuwa mbaya kwa mwingine, kila mtu ana vipaumbele vyake kwa mwanamke anayemtaka.

Huyu mbona wa kawaida sana, ingawa sijakataa kwamba ni mrembo kwa kiasi chake.
 
Watu wanajadili masuala muhimu ya maisha we unatuletea mambo ya demu sijui wa domo! Hayo mambo wapelekee kina hamoniza ndio wanaweza kumtafutia demu
 
Yule wa sudan kaolewa kwa mahari ya ng"ombe 500+ range rover 3 na dola kadhaa za kutosha tu...
Huyu wako mzuri ila hana thamani
 
Watu wanajadili masuala muhimu ya maisha we unatuletea mambo ya demu sijui wa domo! Hayo mambo wapelekee kina hamoniza ndio wanaweza kumtafutia demu
We nae hili ni celebrities nenda Siasa huko ukatoe povu kwa wastaafu wenzeo.
 
Naanza kuona aibu kuishi Iringa.
Amewadhalilisha wahehe huyu jamaa,unaanzaje kumpigania mwenzako apate mwanamke mrembo uliyempenda wewe unajuaje kama anapenda sampuli hizo? Kama umempenda wewe basi pambana umpate.
 
Nimeona watu wameanza kumponda diamond kuhusu demu aliyekuwa naye sasa hivi eti wanasema ni mbaya sijajua kama ni mke au anasafisha tu rungu kama alivyofanya kwa wengine
Katika pitapita zangu leo nimemuona huyu demu mkali kuliko wote east afrika sijui kama mtu atapinga kwa picha hizi demu wa rwanda naona kama anafaa kuwa mke wa diamond tumpiganie jamaa yetu ampate huyu demu aache uzinzi afuate nyayo za kaka yetu AY
View attachment 951120View attachment 951121View attachment 951122View attachment 951124View attachment 951126View attachment 951128

sema hizi mambo bana, unaweza kuta uzuri wakutosha, kufungasha kama kote ila performance zero mpaka mrudishane tuition
 
Back
Top Bottom