Diamond anafanya biashara gani?

Mkuu, laiti tungepata hiyo clip ingesaidia sana kujua Diamond aliongea hayo kwa sababu ipi. Inawezekana TRA wanamwonea gele? Au yeye ndo alikuwa anakwepa kodi ?
 
Mkuu hao Wanigeria wasiojua umiliki wa kiwanda cha Cement cha huyo Tajiri wa Africa labda wale wasiokuwa na mitandao ya kijamii.Especially wale waishio Kwa Mtogole ya Lagos. Ila sio wale wanaofuatilia latest news every time.
kwa mfano we unajua vitu anavyomili bakresa nje ya nchi hii?
 
 
Mwanafunzi wa mbeya day amekua maarufu kuliko Alikiba ingekua me ningetoa nyimbo hapohapo

FURSA HII DOGO AMEPATA[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

sema tu ye anapendaga UJINGA ndo mana[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Huyu mwandishi hajui biashara ya mziki wa bongo.
Siki hizi watu wanatoa nyimbo wapige show sio kuuza album itamuuzia nani na kudownload huku na sheria zisizokuwa na meno
 
kwa mfano we unajua vitu anavyomili bakresa nje ya nchi hii?
Mkuu hatuzungumzii vitu hapa ,Ila tunajadili kuhusu viwanda na mali ambazo zipo public known. So ukizingumzia vitu hiyo itakuwa ngumu sana huenda huko nje anamiliki baiskeli unadhani itakuwa rahisi kutambua hilo?
 
maskin nchini yangu!!!! r.i.p anyway
 
Mimi sio shabiki wa Diamond ila mwandishi wa makala hii hajui chochote kuhusu Muziki yupo yupo kwa kurupuka...wote tumeona Diamond alivyolipwa kwenye ile show ya Mombasa aliyofanya na Ali Kiba ni Zaidi ya milioni 100 na kila siku tunamuona jamaa anazunguka Dunia akipiga show Kibao.

Ila bwana Mwandishi amekariri kuwa msanii anapiga hela kwa kuuza Albamu zake mbona ajiulizi kuhusu wasanii wengine kama wakina Harmonise,Mavoko,Abdu Kiba,Jux,Ben Pol,Baraka da Prince,Ommy Dimpozi wanaishije ishije mjini na Hawana album sokoni?!

Angejiuliza kidogo tu kufanya utafiti angegundua biashara ya kuuza albam ilishakufa siku nyingi kwenye Bongo flava siku hizi una-record Ngoma unakichanga hela ya video kali unasubiri show zije full stop sio mambo ya kuuziana albam tena.

na Kwanza kuonyesha ujui chochote Diamond anazo Albamu mbili na sio moja ya Kwanza iliitwa Kamwambie ambayo ndio ya Kwanza yenye Ngoma kama Nitarejea,mbagala,Kamwambie,Nalia kwa mengi etc na Albamu yake pili iliitwa lala salama yenye Ngoma kama Nataka kulewa,lala salama,mawazo,Nitampata wapi,Moyo wangu etc so siku nyingine usiseme kitu ambacho ukijui
 
Muandishi wa hii makala amepwaya. Amechunguza endorsment deals alizonazo diamond na zinampa kiasi kiasi gani kwa mwezi? Diamond ana focus zaidi kwenye popularity kwa ajili ya endorsmenet deals. Hizo ndo zinampa hela nyingi kuliko hizo show na makorombwezo mengine. Diamondo is brand. If you don't have business acumen huwezi kuelewa kivipi..Shows na video ni stretegies anazotumia kukuza popularity ya brand yake..I am sure deals za Voda na Coca zinawezakuwa kuwa worth few billions annually..
 
Absolutely [emoji106]
 
Kipindi anaanza na Tatizo kwetu Mbagala sikuyaskia haya...Mbona wasalimie Kigoma hatuwasemi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…