Diamond anaishi na wafanyakazi wake kama sio boss vile, ndiyo siri ya kutoboa?

Diamond anaishi na wafanyakazi wake kama sio boss vile, ndiyo siri ya kutoboa?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Mara nyingi sana huwa namuona jamaa kama sio superstar au boss vile anapokua kwenye jamii au katika shughuli zake za biashara,

Nimecheki hii video yake akiwa na wafanyakazi wake walipoenda huko kwenye hoteli, yani unaweza kudhani labda yeye nae ni mfanyakazi, hana ile ubosi bosi.

 
Watasema mwezi mtukufu huu mtoto wa kiislam macheni shingoni,hereni matatoo za nini?
 
Back
Top Bottom