Diamond anaishi na wafanyakazi wake kama sio boss vile, ndiyo siri ya kutoboa?

Diamond anaishi na wafanyakazi wake kama sio boss vile, ndiyo siri ya kutoboa?

We mzee unaanza kuzeeka vibaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Azeeke mara ngapi wakati meno yote hana neno sambusa anatamka samsa ishakua 12 jioni huyo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shida ni kwamba mondi azitumia chuki na husda za wanadamu juu yake kuwa fursa ya mafanikio.

mungu ampe umri mrefu ili apate mafanikio makubwa zaidi na zaidi ili awe mfano wa kuigwa kwa vijana wote wa duniani na mbinguni.aamina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom