Diamond anajua kutafuta kwa udi na uvumba aah.

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,033
Kwanza kabisa alipopata pesa na umaarufu akaanza kufwata na wasanii wa kike wa bongo wengi wao waigizaji, jamaa bila kupoteza mda akawatafuna wote naaminisha akawa akawa na uhisiano wa kimapenzi na wao siku mbili tatu yanaanza tena mahusiano mapya na mwanamke mwingine.
Ukimuuliza ilikuaje mahisiano yaliyopita atakwambia usaliti na sababu nyingine kibao kumbe wapi jamaa mjanja yeye alikua anahakikisha anapitia kila aina ya papuchi auridhishe moyo wake.

Aliwahi kutembea na wema sepetu, kidoti, jackline wolper, hawa, hamisa mobeto, penny na wanawake wengine kibao mtawaweka.

Baada ya kukamilisha ndoto yake akaamua kutumia busara na utashi wa hali ya juu akatafuta mwanamke ambae anajielewa na ni mtu mzima ataweza mpa challenge ili asiharibu na kweli akafanikiwa. Akamchukua zari the boss lady ambae ni mkubwa kwa diamond kwa miaka 9.
Wamezaa mtoto mmoja na pia kuna kijacho.

Huyu ndio naseb abdul bana a.k.a diamond platnum, domo, simba, chibu, sukari ya warembo na majina mengine kibao.
Kiukweli jamaa anafanya mambo yake kwa malengo na ana akili ya maisha na anajua kucheza na akili za watu na mzazingira.
Anajua watu gani wanataka kitu flani na ndio maana kwa asilimia kubwa kazi zake zinauza.

Pamoja na uchapakazi wote huu bila kusahamu mapungufu/madhambi yake (vitendo vya ngono) Daimon platmumz ni muumini mkubwa wa dini, kwenye mahojiano na post zake nyingi huwa anamtaja Mwenyezi-Mungu.

Heshima kwake, kabadilisha mziki wa tanzania na africa kwa ujumla hadi masta kibao kama p square na wengine wengi wamempa sifa kibao.

Pambana diamond ila nakushauri kitu kimoja usimalize pesa zako kwa magari ya kifahari bali wekeza, najua hunywi pombe, wewe ni mgumu hutoi pesa yako hivi hivi na hujiachii kwa malaya sababu ajuza Zari the boss lady kakushika haswa.
 
Pia Dimond alibahatika kuwa Mikononi kwa watu wanaojua sana Kuanzia kina Salaam na wengineo ambao kiukweli wanajitahidi sana kumfanya awe proffesional
 
Anaumaarufu gani mbaka anajadiliwa humu wekeni na picha yake tumuone?
umaarufu wake ni kwamba alikua anakaa nyumba ya familia sa hvi anaish kwake na umaarufu mwengine kama alivyoeleza mwenye uzi wake hapo juu.... msaada zaid ingia google cheki jina ulilotajiwa then utapata picha mpaka ya mama yake.....
 
Simba wosia huo uushike na uufanyie kazi kwa Africa mashariki wewe ni no 1 usilewe SIFA!! Mtangulize MUNGU kwa kila kitu!!
 
Diamond ni wa kawaida sana. Sema yeye ni maarufu tu. Kuna vijana wengi wako vizuri kifedha kuliko Mond. Ila hawataki kiki.
Kweli mkuu sema huyu kiki huwa zinamsaidia mfano anapotaka kutoa nyimbo lazima atafatute kiki yangono na warembo wa mjini ili ngoma ifanye vizuri kwa nguvu ya kiki tofauti na vijana wengine wenye mtonyo huwa hawapendi huo upuuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…