God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
- Thread starter
- #41
na wewe inakuhusu nini au ni mchepuko wako?Umemjibu,lakini umekosea hayo maneno mawili ya mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wewe inakuhusu nini au ni mchepuko wako?Umemjibu,lakini umekosea hayo maneno mawili ya mwisho
kwa hiyo una maana gani na mimi mkuu?Jambo ambalo kila siku sijapata jibu ni kwanini haters wa Diamond majority ni wanaume!!! Huku kwetu ni aibu kwa mwanaume kumwongolea mwanaume mwenzake kwa ubaya tena kila wakati manake hata ukiangalia hapa JF, haters ni wale wale wa siku zote!!! Dada zenu
Ahsante Mungu kwa kunipa tabia za kiume!!!!
View attachment 397359 Kwanza kabisa alipopata pesa na umaarufu akaanza kufwata na wasanii wa kike wa bongo wengi wao waigizaji, jamaa bila kupoteza mda akawatafuna wote naaminisha akawa akawa na uhisiano wa kimapenzi na wao siku mbili tatu yanaanza tena mahusiano mapya na mwanamke mwingine.
Subiri waje wa fani hizi.Ukimuuliza ilikuaje mahisiano yaliyopita atakwambia usaliti na sababu nyingine kibao kumbe wapi jamaa mjanja yeye alikua anahakikisha anapitia kila aina ya papuchi auridhishe moyo wake.
Aliwahi kutembea na wema sepetu, kidoti, jackline wolper, hawa, hamisa mobeto, penny na wanawake wengine kibao mtawaweka.
Baada ya kukamilisha ndoto yake akaamua kutumia busara na utashi wa hali ya juu akatafuta mwanamke ambae anajielewa na ni mtu mzima ataweza mpa challenge ili asiharibu na kweli akafanikiwa. Akamchukua zari the boss lady ambae ni mkubwa kwa diamond kwa miaka 9.
Wamezaa mtoto mmoja na pia kuna kijacho.
Huyu ndio naseb abdul bana a.k.a diamond platnum, domo, simba, chibu, sukari ya warembo na majina mengine kibao.
Kiukweli jamaa anafanya mambo yake kwa malengo na ana akili ya maisha na anajua kucheza na akili za watu na mzazingira.
Anajua watu gani wanataka kitu flani na ndio maana kwa asilimia kubwa kazi zake zinauza.
Pamoja na uchapakazi wote huu bila kusahamu mapungufu/madhambi yake (vitendo vya ngono) Daimon platmumz ni muumini mkubwa wa dini, kwenye mahojiano na post zake nyingi huwa anamtaja Mwenyezi-Mungu.
Heshima kwake, kabadilisha mziki wa tanzania na africa kwa ujumla hadi masta kibao kama p square na wengine wengi wamempa sifa kibao.
Pambana diamond ila nakushauri kitu kimoja usimalize pesa zako kwa magari ya kifahari bali wekeza, najua hunywi pombe, wewe ni mgumu hutoi pesa yako hivi hivi na hujiachii kwa malaya sababu ajuza Zari the boss lady kakushika haswa.
View attachment 397359 Kwanza kabisa alipopata pesa na umaarufu akaanza kufwata na wasanii wa kike wa bongo wengi wao waigizaji, jamaa bila kupoteza mda akawatafuna wote naaminisha akawa akawa na uhisiano wa kimapenzi na wao siku mbili tatu yanaanza tena mahusiano mapya na mwanamke mwingine.
Ukimuuliza ilikuaje mahisiano yaliyopita atakwambia usaliti na sababu nyingine kibao kumbe wapi jamaa mjanja yeye alikua anahakikisha anapitia kila aina ya papuchi auridhishe moyo wake.
Aliwahi kutembea na wema sepetu, kidoti, jackline wolper, hawa, hamisa mobeto, penny na wanawake wengine kibao mtawaweka.
Baada ya kukamilisha ndoto yake akaamua kutumia busara na utashi wa hali ya juu akatafuta mwanamke ambae anajielewa na ni mtu mzima ataweza mpa challenge ili asiharibu na kweli akafanikiwa. Akamchukua zari the boss lady ambae ni mkubwa kwa diamond kwa miaka 9.
Wamezaa mtoto mmoja na pia kuna kijacho.
Huyu ndio naseb abdul bana a.k.a diamond platnum, domo, simba, chibu, sukari ya warembo na majina mengine kibao.
Kiukweli jamaa anafanya mambo yake kwa malengo na ana akili ya maisha na anajua kucheza na akili za watu na mzazingira.
Anajua watu gani wanataka kitu flani na ndio maana kwa asilimia kubwa kazi zake zinauza.
Pamoja na uchapakazi wote huu bila kusahamu mapungufu/madhambi yake (vitendo vya ngono) Daimon platmumz ni muumini mkubwa wa dini, kwenye mahojiano na post zake nyingi huwa anamtaja Mwenyezi-Mungu.
Heshima kwake, kabadilisha mziki wa tanzania na africa kwa ujumla hadi masta kibao kama p square na wengine wengi wamempa sifa kibao.
Pambana diamond ila nakushauri kitu kimoja usimalize pesa zako kwa magari ya kifahari bali wekeza, najua hunywi pombe, wewe ni mgumu hutoi pesa yako hivi hivi na hujiachii kwa malaya sababu ajuza Zari the boss lady kakushika haswa.
Kwanza wewe umeongelea uhalisia wakati mimi nazungumzia wale ambao wao kila siku ni hoja zinazowakilisha chuki chuki chuki!!! Hao haters wanafahamika... wao siku zote ni kuongelea mabaya tu!! Kuna wengine hapa siku za nyuma ilikuwa utawasikia "jamaa mwenyewe ni mgumba!!!" We mwanaume kweli unashadadia ugumba wa mwanaume mwenzako hata kama ni kweli!!!! Lleo hii utasikia "yule mtoto si wake...!" Mwanaume huyo yaani anajua kabisa nani kampiga mimba Zari!!! Hao ni wale ambao kila siku wanaota kushuhudia downfall yake miaka inakatika sasa bado wanaendelea kuugulia maumivu manake jamaa yupo pale pale!!!kwa hiyo una maana gani na mimi mkuu?
mtoto wa kiume anapaswa kuwa na akili, ugomvi wa kimapenzi wa baba na mama yasimfanye awe kituko mbele ya jamii.
[emoji1]
Ni mapungufu madogo ata fanyia marekebisho
Hapana sio mchepuko wangu,inanihusu kwa kuwa hili ni jukwaa huru kila mtu ana uhuru wa kuchangia.na wewe inakuhusu nini au ni mchepuko wako?
povu la nini wewe, niweke list ya mademu wangu kwani mimi ni celebrity? kaoge mshenzi wewe sijui umekorofishana na mkeo uko unakuja kunimalizia hasira mimi? mbuzi weweSawa umeshatuwekea " Mademu " baadhi ambao " Dimonde " ameshawakanyaga sasa tunakuomba kwa moyo wako huo huo wa Ki OU ( Oparesheni Umbea ) na Wewe tuwekee hapa " Mademu " zako uliowabandua ili tuwathaminishe kwani hao waliomegwa wote na " Dimonde " ni Totooz za maana na very popular.
Kuhusu katika kumpa Ushauri nadhani yeye " Dimonde " ndiyo alitakiwa akupe Wewe ushauri wa kuacha kumfuatilia na kama labda unamwonea " kijicho " basi akupe angalau hata msingi tu ( capital ) ili uanzishe " kamradi " ambako katakufanya uwe busy 24/7 na kuachana kuja " kuwapovukia " huku Watu.
pita pembeni na mada zangu basiHapana sio mchepuko wangu,inanihusu kwa kuwa hili ni jukwaa huru kila mtu ana uhuru wa kuchangia.
Nawewe unataka kugegedwa?Hivi kutafuta ni pamoja na kugegeda sana wadada?
Huna uwezo wala mamlaka ya kumkataza mtu asichangie mada,kwa kuwa umeweka mada hapa wacha watu wachangie,la kama hutaki anzisha jukwaa lako peke yako, kusudi uchangie mwenyewe na unao wataka au nenda kwenye mitandao itakayokuwezesha kuwablock watu.pita pembeni na mada zangu basi
tatizo kanijibu vibaya na we kama vipi kaa mbali na mimi nisikuharibu sasa, sipendi kuingiliwa mambo yanguHuna uwezo wala mamlaka ya kumkataza mtu asichangie mada,kwa kuwa umeweka mada hapa wacha watu wachangie,la kama hutaki anzisha jukwaa lako peke yako, kusudi uchangie mwenyewe na unao wataka au nenda kwenye mitandao itakayokuwezesha kuwablock watu.
Hakukujibu vibaya,isipokua alisapoti hoja ya mchangiaji mwingine ambayo wewe hukuipenda ndo ukamjibu na neno lisilofaa, ndio nikakwambia umemjibu lakini hayo maneno mawili ya mwisho sio poa.tatizo kanijibu vibaya na we kama vipi kaa mbali na mimi nisikuharibu sasa, sipendi kuingiliwa mambo yangu
povu la nini wewe, niweke list ya mademu wangu kwani mimi ni celebrity? kaoge mshenzi wewe sijui umekorofishana na mkeo uko unakuja kunimalizia hasira mimi? mbuzi wewe
si majina yao yautani jaman kwani nimetia chumvi gani hapo? mbona mazuri niliyosema hujasemaMtoa post una walakini......kwanini unatumia maneno ya kuudhi.....DOMO...AJUZA ????