Kwahiyo kama mama mtu alkua anatembea na salum mtoto kahusikaje? Kikwel wanaume mkishakojoa hlf mkaachana na wanawake zenu hua hamfatilii mtoto kala kavaa kaenda shule au vp. Tena hua mnajiekea vichwan kua hatotoboa. Mungu sio abdala wala abdul mara mtoto anatoboa. Ndo baba anaanza misifa ooh yule mwanangu. Mara mwanangu kanitenga blahblah. Wakat alivyokua anashindia muhogo hukujua km mwanao. Wakat anahangaika na ada hukujua km mwanao. Ebu muachen mondi akiamua atamsaidia asipoamua asimsaidie hapat ata dhambi coz hana kosa hapo. Ni funzo kwa wanaume wote wanaokimbia mimba na watoto
ivi wewe hata form umefika/umefaulu kweli? mimi nilisema sababu ya baba mondi kuvunja uhusiano ni pale alipogundua mkewe anachepuka na mtu anaeitwa salumu na mpaka sasa wanaishi pamoja/ndo anamla mama mondi.
sasa kama mwanamke nimemfuma akitmbwa mimi nijilengeshe kwake kwa ajili gani?
Na nani kakuambia alimtelekeza mwanae/mondi? hakumtelekeza bali kuvunjika kwa mahusiano na mama yake ndiko kuliko weka umbali. na kasema anampenda mondi hawezi mchukia mwanae sababu ya tabia chafu za mama yake.
ndo maana nasema kama mondi ni mwanaume wa kweli amrudi baba yake na amtake radhi, amsaidie na kumpa sapoti ya kutosha sababu mwenye makosa ni mama yake.
yawezakuwa anajua hii ishu au hajui ila akija kutambua baadae baada ya Mungu kumchukua/kumpenda zaid baba yake ndio atatambua chozi la baba yake.
na kwa hizi video na habari za magazetini natambua atakua analifahamu hili jambo kama.
kama mwanaume sidhani kama utakubaliana na hali ya mkeo kutmbwa nje, mondi kama kidume kilichopevuka afanye maamuzi.
na shida inatokea kwa sababu mama yake keshamjaza upepo na kumuongopea baba yake alikua ni mtu mbaya sana, alimtelekeza na kumyanyasa kumbe sio, ndio maana kakomaa kwa mama yake. nyie wanawake ni washenzi sana, malipo ni hapa hapa duniani hata ukifa kwa kuishi maisha ya raha kumbuka kuna maisha baada ya kufa, huko mbinguni utaenda kujibu unafiki ulioufanya.
shame on her pamoja na wewe maana unadhirisha una moyo mchafu sana.
sijui hata sura yako ikoje, hivi wewe ni binadamu kweli?