shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,329
diamond anachekesha kwa mtindo huu hawezi kutoboa kimataifa kamwe mi nikajua atatoa kitu kama chop my money au alingo
poor management inakushauri vibaya mtv nominee unawaza kuwateka mashabiki wa mbagala na vingunguti haiwezi kua kweli labda naota
Huu ni wimbo kwa ajili ya soko la Tanzania..Soon ataachia wimbo na Iyanya kwa ajili ya international market..
diamond anachekesha kwa mtindo huu hawezi kutoboa kimataifa kamwe mi nikajua atatoa kitu kama chop my money au alingo
poor management inakushauri vibaya mtv nominee unawaza kuwateka mashabiki wa mbagala na vingunguti haiwezi kua kweli labda naota
Unataka tumsahau kama ay anaepiga muziki wa kimataifa. Kuna raha gani unapiga muziki kwenu hawakujui!
Kwanza Mashabiki wa Muziki Wa bongo hawana pesa..AY yuko juu kuliko Diamond na pia wanafaya aina tofauti ya Muziki..
Bado swali langu liko palepale..
Huu wimbo umeuzid nini wimbo wa FEROOZ-NDEGE MTINI.??
WaTZ ndo maana mziki wetu hauendlei,acheni ubinafsi,mtu flani akitoa wimbo ndo mnasema mzuri akitoa mwngne mpo kimyaaa..
I do also
big up Diamond
The point iko palepale ni lazima pia mashabiki wawepo nyumbani. Diamond haba cha kupoteza, kutoa wimbo mmoja wa mchiriku kwa watu wa mbagala hakumfanyi asi go internationally.
me too...
I do also
big up Diamond
mwe ngoja nami niusikilize sasaa hivi youtube
umeshausikiliza sister
nimeusikiliza mwaya....
I do also
big up Diamond