xfactor
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,511
- 1,289
Bado swali langu liko palepale..
Huu wimbo umeuzid nini wimbo wa FEROOZ-NDEGE MTINI.??
WaTZ ndo maana mziki wetu hauendlei,acheni ubinafsi,mtu flani akitoa wimbo ndo mnasema mzuri akitoa mwngne mpo kimyaaa..
Kuna point hapa,huu wa dimond hauwezi kuulinganisha na ndege mtini hata iweje
Mchiriku ni style ambayo midundo haina tofauti sana kati ya wimbo na wimbo hivyo Dimond kachemsha kutoa single ya wimbo ambao hauto onyesha utofauti wake na wengine.Huu hauingii hata kwa kazi ya dukani