Diamond anajua sana mziki, mchiriku wake umetoka rasmi

Diamond anajua sana mziki, mchiriku wake umetoka rasmi

Bado swali langu liko palepale..
Huu wimbo umeuzid nini wimbo wa FEROOZ-NDEGE MTINI.??

WaTZ ndo maana mziki wetu hauendlei,acheni ubinafsi,mtu flani akitoa wimbo ndo mnasema mzuri akitoa mwngne mpo kimyaaa..

Kuna point hapa,huu wa dimond hauwezi kuulinganisha na ndege mtini hata iweje

Mchiriku ni style ambayo midundo haina tofauti sana kati ya wimbo na wimbo hivyo Dimond kachemsha kutoa single ya wimbo ambao hauto onyesha utofauti wake na wengine.Huu hauingii hata kwa kazi ya dukani
 
Nichek Friday night ya Sam misago kuna malalamiko kutoka kwa Msanii wababa (former BSS star) anasema huo wimbo ni wake ameutoa zaidi ya miaka minne iliyopita so Diamond kaiba.
 
daa sijawai kupenda mchiriku kama huu! Jamaa anajua kucheza na melody hile mbaya daa. Ana kipaji hakika.
 
Huyo nae anatafuta pakutokea.

Pia jamaa amelalamika kuwa kuna wimbo Ney wa Mitego kataka kumuibia kwa producer Mazuu, ila kwa bahati nzuri Mazuu akamshtua jamaa mapema kuwa Ney anataka anipe Milion 1 ili nimpe wimbo wako.
 
diamond anachekesha kwa mtindo huu hawezi kutoboa kimataifa kamwe mi nikajua atatoa kitu kama chop my money au alingo


poor management inakushauri vibaya mtv nominee unawaza kuwateka mashabiki wa mbagala na vingunguti haiwezi kua kweli labda naota

Ukisikia kasumba ndo hiyo.
 
Rudi studio diamond, hili boko aisee

Nimeusikiliza ni mbaya sana
 
dah itabidi arudi kule kule na idea zake lakini kwa hili mmmh!! kaboronga sana hapamfai na sio yule aliyezoeleka, utafkiri utafkiri underground... au ndo kamuiga DOGO S KIDE?
 
Katika nyimbo mbovu 100% kutoka bora aseme ametoa kwa ajili ya kuwaweka mashabiki wake attention hii nyimbo harandani nayo kabisa
 
kuna watu wametoa ngoma kali kuliko za diamond ila kwa level aliyofikia diamond ya kukubalika na jamii hii ngoma ya mdogomdogo itakamata tu!...jina linambeba kwa sasa!ngoma design hiyo wengi wametoa na zimebuma ila hii ya diamond itabamba kwani first time niliisikia nikaconclude jamaa kachemsha ila nilivyoisikia kwa mara ya pili ikipigwa pale samaki samaki ikabidi nibadili mawazo yangu!raia waliikubali sana mpaka nikashangaa!....nilichomsifu jamaa ni kugeuza upepo wa ngoma watu walizoanza kuzizoea kwa hili nampa big up kwani unigeria umeteka sana soko na uhakika ngoma hii itabadilisha upepo wa music bongo
 
Diamond Platnumz - Mdogo Mdogo by KDADDYCOOL - HulkShare


Wazee wa vigodoro hapa ametupatia kweli. Nasikia remix yake msaga sumu mzee wa naipenda simba na dogo mfaume ( kazi yangu ya dukanii) wameshirikishwa.

Sipati picha mrembo wema akicheza mchiriku kwenye kigodoro. Kwa mwendo huu haters watajificha maana masela wote lazima hawateke kwa mchiriku huu uzinduzi wa album tandikaaaa kwa masela disko vumbi.

nikumabatie unikisii nijivunee, kesho nizidishe ufanisii nijitumeee, tujenge hadi nyumba paris wanuneee!

daaaaah I like the song...
 
dah itabidi arudi kule kule na idea zake lakini kwa hili mmmh!! kaboronga sana hapamfai na sio yule aliyezoeleka, utafkiri utafkiri underground... au ndo kamuiga DOGO S KIDE?

wanawivu haoooooo, haoooo, haoooo,
wachongaishi haoooo, haoooo, haooooooo
 
kila mtu na vionja vyake ila binafsi sijaupenda, nimeusikiliza mara 2 lakini wapi!!!
 
Back
Top Bottom