Kupitia account yake ya Instagram msanii nyota wa muziki wa bongo fleva nchini Diamondplatnumz amekanusha uvumi wa taarifa zinazosambaa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba yeye anakihusisha chama cha CHADEMA na ukabila kuwa uongo na uzushi
Account inayoeneza habari hizo za Diamond ni account fake kutoka Facebook ambayo inatumia jina la diamondplatnumz.
Ikumbukwe pia Account ya Diamond ya Facebook iko verified na inakiti cha Blue na account iliyopost taarifa hiyo ya uongo haiko verified.
Kuna account kumi na saba huko facebook zinazotumia jina la Diamond ikiwemo hiyo inayoeneza taarifa za uzushi kuhusu ukabila!
Taarifa hizo sio sahihi na hazina ukweli wowote ule.
matumbo mzurimie Kim nana kedrick stressfree