Diamond analipwa bei gani kwa show za nje na ndani?

Diamond analipwa bei gani kwa show za nje na ndani?

Mlalahoi Mlalahai

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
399
Reaction score
146
Nataka kujua baba tifa, analipwa bei gani kwa show za ndani na nje kwa sasa, ukizingatia anatembea na team kubwa kwa ss, wapiga picha, DJ, dancers na pia ana mameneja watatu, tafadhal
 
Wewe ni Promota? Kama ndivyo mtafute meneja wake tusichoshane hapa, na kama sio Promota unauliza ili iweje?

#via uchokozi
 
nilimsikia juzi a,nasema show za ndani analipwa milioni 2 - 3 na za nje mpaka 4.
 
Wewe ni Promota? Kama ndivyo mtafute meneja wake tusichoshane hapa, na kama sio Promota unauliza ili iweje?

#via uchokozi
Demu wangu ukiwaga mwezini banaaa, haya malizia malizia basi si leo ndo ya mwisho
 
Tsh 150,000/= Laki moja na nusu kwa nje, ndani tsh 50,000/= elfu hamsini.
 
Nilisikia analipwa mil 150 kwa ndani na mil 200 hadi 300 mil kwa za nje.
 
Back
Top Bottom