certified mdokozi
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 1,403
- 814
kuna wanao Amin jamaa ni bilionea ( in term of madafu ) so he must be paid handsomely
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si nasikia huwa wanaendaga kwenye birthday party tu hukoNilisikia analipwa mil 150 kwa ndani na mil 200 hadi 300 mil kwa za nje.
Mil 100 una maana haitoshi au ?Wewe ameuliza kuhusu
Diamond platimu a k a Simba,sio wale wapiga singeli uswazi.
Duh!Show zake analipwa 500m za ndani za nje anacharge $ 2m.
yaani jamaa kaongeza chumvi huyo .... Hata huyo chris brown halipwi hela hiyoDuh!
2 million dollars per show
Kwa pesa hiyo angepiga shoo kama 30 hivi angekuwa amewaacha mbali sana wakina T.I na wasanii wengine wakali kibao mbeleyaani jamaa kaongeza chumvi huyo .... Hata huyo chris brown halipwi hela hiyo
Thats nice kama sanaa imefika kulipa hvyo
Duh!
2 million dollars per show
sorry Kiba alipwa kias gan kwa show?