Diamond anamtumia vibaya Harmonize

Ushamba mzgo....mbona una lalamika ivyo??????una undugu na hamonize????
 
Harmonize amesainiwa chini ya WCB kwaiyo shughuli zote za lebo anahaki ya kushiriki kwa maslahi yake pia
 
Shardcore, Kuna matukio mengi na tofauti yanaendelea kutokea kwenye dunia hii hivi sasa. We umekalia Diamond na Ali Kiba Tu kutwa nzima. Toka uswahilini huko nenda kapige misele mitaa ya Kati unaweza kupata dili la maana. #UshambaMzigo
 
Hivi wewe kwanini unamuonea wivu kijana wa watu hadi unatunga uongo?

Umemsikiliza redioni anasifia jinsi anavyomsaidia kupaa akiwa amesaini kwenye lebo yake unaona wivu wa kunguni sasa na wewe sibukamlilir unaemtetea nawe ujaribu kuimba upate pesa nawe upae.

Tabia yako ya kuhesabu kokoto imezidi sana hadi kufikia hapa unatia kinyaaaa sasa
 
Unaweka picha wanayotangazia vazi hilo linaloingia unaona kama kitanda chako cha njiti hakilaliki.
 

Sasa wasitangaze alichovaa au unatakaje, Umechemsha sana kama ulitaka kazi ungewaomba wewe ufanye ya kumodo alichovaa.

Ushamba umewajaa wengi

Na ametoka bomba sana anazidi kung'aa Harmonize.
 
Utajuaje amelipwa kufanya hiyo modeling ya boxer?
Watu wanatafuta hiyo nafasi ya kuwa hired kama models

Wanaona wivu wanataka kuwachafua tu

Tena Diamond jana na juzi kaongelea kuwapa ajira vijana aliwajua kwenye mitandao kwa kujiita team Diamond akaona vipaji vya anawa koneckti hata na makampuni mengine wanavuta pesa.

Saaa wengine wengi wao wanaweka bando kutukana na kuponda hawatumii kujiendeleza na amesema hiyo ndio shida kwa wengi kama hawa humu wanaotaka kuchafua biashara ya WCB.

Harmonize lazima anajivutia pesa tena kapendeza kesho kesho kutwa anaweza kqenda mbaki akaimba na kutangaza za wengine muhimu pesa inaingia.
 
Boxer tamu sana hizoo..mkuu naomba nielekeze zinakouzwa
 
Mi nampenda sana Diamond lakini kwa nini asipige picha yeye mwenyewe kama ni kitu kizuri? kwanza yeye ni maarufu zaidi. Unapomsaidia mtu Diamond inatakiwa uwe makini kwani hii nami haikunifurahisha kwa kweli!
 

Nyie watu wa Ubaruku washamba sana, nini tatizo la hii picha hadi upanic.. Exposure muhimu sana Jaribu kutembea upunguze ushamba
 
Diamond is very creative na ana crew kubwa sana nyuma yake ila yupo makini sana kuhakikisha wote wanaridhika na maisha yanaendelea...tuache wivu D anatoa ajira kwa wengi sana...sio kama kibakuli
 
Diamond kamuona kijana ana muzigo wa kutosha kampa kazi ww horojoka tu na wivu wako
 
Masharti ya kuvua nguo au kukaa uchi kwa wasanii hawa kina manyaunyau wanavuka mipaka hata yeye alishawahi kufanya hivyo on stage
 
Hatujui Makubaliano Yao But Cyo Kitu Kibaya Mbona David Beckham Anafanya Sana Hayo Matangazo Ya Boxer Au Coz Inamuhusu Mond Ndio Shidaa Chaaa Wabongo Tunamatatizo Sana.
Watanzania kama nyinyi ni hasara kwa taifa na unamatatizo ya akili kumfananisha David Beckham na harmonize
 
Kuna watu kwa pumba tu ni noma kama mzurimie yeye haelewi kila kitu anasifia tu
 
Unaweka picha wanayotangazia vazi hilo linaloingia unaona kama kitanda chako cha njiti hakilaliki.
Achana nae huyo manake wala hajui kwamba anatangaza products za WCB! Binafsi sijam-follow Harmonize kwahiyo nilikuwa sifahamu kabisa kuhusu huu mzigo!!!
Shardcole, ahsante kwa kunijuza kwamba kuna mzigo unaingia sokoni hivi punde!!!


 

Attachments

  • 2.jpg
    40.6 KB · Views: 1,069
  • Chibu 1.jpg
    29.8 KB · Views: 1,068
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…