Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii picha imenikeraaaaa kinoma, kidoogo nimu unfollow harmonize
Huu ni upuuzi uliopitiliza.. Na hapa Diamond na mameneja ndio wenye makosa asilimia zote, USHENZI MTUPU...!!
NIDHAMU KWENYE KAZI NA MASHABIKI NI KITU MUHIMU SAANA, NI BORA UTOE KAZI MBOVU INAVUMILIKA ILA SIO UPUUZI WA NAMNA HII
Utajuaje amelipwa kufanya hiyo modeling ya boxer?
Watu wanatafuta hiyo nafasi ya kuwa hired kama models
Hii picha imenikeraaaaa kinoma, kidoogo nimu unfollow harmonize
Huu ni upuuzi uliopitiliza.. Na hapa Diamond na mameneja ndio wenye makosa asilimia zote, USHENZI MTUPU...!!
NIDHAMU KWENYE KAZI NA MASHABIKI NI KITU MUHIMU SAANA, NI BORA UTOE KAZI MBOVU INAVUMILIKA ILA SIO UPUUZI WA NAMNA HII
Kwa hiyo data umependa nini hapoSio kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu.
Watanzania kama nyinyi ni hasara kwa taifa na unamatatizo ya akili kumfananisha David Beckham na harmonizeHatujui Makubaliano Yao But Cyo Kitu Kibaya Mbona David Beckham Anafanya Sana Hayo Matangazo Ya Boxer Au Coz Inamuhusu Mond Ndio Shidaa Chaaa Wabongo Tunamatatizo Sana.
Achana nae huyo manake wala hajui kwamba anatangaza products za WCB! Binafsi sijam-follow Harmonize kwahiyo nilikuwa sifahamu kabisa kuhusu huu mzigo!!!Unaweka picha wanayotangazia vazi hilo linaloingia unaona kama kitanda chako cha njiti hakilaliki.