wengi wanasema hajui kupiga instruments na ni msanii wa kutegemea CD lakini hapa majuzi mdaku mmoja wa karibu naye alichezesha taya na mwandishi maaraufu anayekuletea habari hii iliyokamilisha nguzo zote tano za uandishi wa habari yaani 5 W's
Huku akifuta viatu vya gharama kubwa ambavyo aliletewa na Dangote platinum kutoka UK kama zawadi mdaku huyo alisema kuna bonge la show litakuja karibuni ambapo Dangote platinum atap afomu kwa kupiga vyombo laivu huku naye akicharaza gitaa, piano au drums.