Diamond anapiga karibu instruments zote..ushahidi huu hapa

Diamond anapiga karibu instruments zote..ushahidi huu hapa

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
wengi wanasema hajui kupiga instruments na ni msanii wa kutegemea CD lakini hapa majuzi mdaku mmoja wa karibu naye alichezesha taya na mwandishi maaraufu anayekuletea habari hii iliyokamilisha nguzo zote tano za uandishi wa habari yaani 5 W's

Huku akifuta viatu vya gharama kubwa ambavyo aliletewa na Dangote platinum kutoka UK kama zawadi mdaku huyo alisema kuna bonge la show litakuja karibuni ambapo Dangote platinum atap afomu kwa kupiga vyombo laivu huku naye akicharaza gitaa, piano au drums.

okay then, iam out for now

Diamond Platnumz - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Maatope unajua mada zako hizi sijui unazitungaga ukiwa kwa mama muuza.
 
Kupiga vyombo vyote sio shida, shida kuvipiga kiusahihi...
 
Back
Top Bottom