Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Funga bakuli lako kama hujui kitu bora unyamazeTunaelewa kwamba Tanzania ya viwanja inakuja kwa kasi sana pale unapoona akili za vijana kama wewe unaleta post kama hii mbele ya watu wazima...huku sio Fb
Anamwimbia nani kwanza? Wema au zari?Msanii Diamond Platnumz kuna kipande kwenye wimbo wa kwangaru alioshirikishwa na Harmonize anamwambia mpenzi wake "abane choo" pia kuna kipande kingine anamwambia mpenzi wake "apake mate iteleze kama nyoka pangoni".
Ukiwa kama mdau wa muziki unaelewa nini maneno haya?
HAMISA MOBETOAnamwimbia nani kwanza? Wema au zari?
Msanii Diamond Platnumz kuna kipande kwenye wimbo wa kwangaru alioshirikishwa na Harmonize anamwambia mpenzi wake "abane choo" pia kuna kipande kingine anamwambia mpenzi wake "apake mate iteleze kama nyoka pangoni".
Ukiwa kama mdau wa muziki unaelewa nini maneno haya?
ana experience hiyo, atakuwa alishawahi kubana choo mtu mwingine akapata mate ili anachosema huwa kinateleza kiteleze. takataka kabisa huyo ndo maana haoi.Msanii Diamond Platnumz kuna kipande kwenye wimbo wa kwangaru alioshirikishwa na Harmonize anamwambia mpenzi wake "abane choo" pia kuna kipande kingine anamwambia mpenzi wake "apake mate iteleze kama nyoka pangoni".
Ukiwa kama mdau wa muziki unaelewa nini maneno haya?
Wewe umeshayafikiria hayo mafumbo ya EINSTEIN?Mkuu
Badala ya kufikiria mafumbo ya Einstein unafikiria mawazo ugoro ya Diamond Platinumz?
My ribs!
Kivipi mkuu?Anamaanisha ufilauni
Wewe umeshayafikiria hayo mafumbo ya EINSTEIN?
Yani unakuja hili jukwaa ukifikiria utayakuta mafumbo ya kina Eisten? Falasi kweli wewe, ujuaji mbaya sana *****Ndio,niulize!
Halafu Einstein ni mfano tu....ni kwamba fikiria majawabu ya mafumbo na falsafa za magwiji wa mambo serious ya kutusaidia wanadamu,sio ugoro ugoro wa jitu punguani kama Diamond Platinumz!
Ni mwanamuziki,na hiyo ndio level yake,haya mfate huko huko mavumbini!
Unatoa uzi kabisa kuulizia maana ya maneno mabovu kabisa ya mtu mwenye IQ suspect kama Diamond?Nilidhani walao unaleta hoja fikirishi na positive za watu serious kama JK Nyerere,Bill Gates,Steve Jobs,Mengi au Bhakheresa,au hata Niels Bohr!
Yani unakuja hili jukwaa ukifikiria utayakuta mafumbo ya kina Eisten? Falasi kweli wewe, ujuaji mbaya sana *****
Bado hujajua kwanini nimeandika falasi badala ya farasi, wajuzi wakija watakwambia. Habari za ma scientist wako nenda kazifate jukwaa la elimu, hapa ni ubuyu tu mazerfakerBaba Tupac
Jukwaaa ni la Celebrities,Einstein sio celebrity scientist?
Halafu mzee Tupac unafeli sana,sio "Falasi" ni "Farasi",hadi Kiswahili your mother tongue hujui?
Utajua nini wewe mtu?
Usitake kutumbia jukwaa la Celebrities ni jukwaa la kuongelea ugoro wa kiwango cha lami cha maneno mabovu kabisa ya Diamond Platinumz tu?Kwahiyo unataka kutuaminisha jukwaa hili waleta thread wote wana ruksa ya kuongelea utumbo kadiri watakavyo?Infact they are really free to be as stupid as they want to be,thats including you sir!
Hainaga makombo ile!Kwani huu wimbo aliimbiwa nani. [HASHTAG]#bosslady[/HASHTAG] au [HASHTAG]#chuchunge[/HASHTAG],
Ila wanawake sisi ukiona mwenzio mpaka yamemshinda akaamua kuondoka mwenyewe ujue kakumbana na makubwa.