Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Msanii Diamond Platnumz kuna kipande kwenye wimbo wa kwangaru alioshirikishwa na Harmonize anamwambia mpenzi wake "abane choo" pia kuna kipande kingine anamwambia mpenzi wake "apake mate iteleze kama nyoka pangoni".
Ukiwa kama mdau wa muziki unaelewa nini maneno haya?
Ukiwa kama mdau wa muziki unaelewa nini maneno haya?