Diamond anaposema "bana choo" na "paka mate iteleze" unaelewa nini?

Atakuwa anaukalia nayeye kama bado ataukalia tu soon...
 
Diamond lyrics zake siku hizi ni uzinzi tu
 


Si mwanamuziki, ni msanii anatafuta kick.
 
Huyu dogo kazd kuimba matus yan
 
haaa haaaa...wyatt...leo umetapika..ila uko sahihi mambo mengine yana kera aiseeee"""upuuzi mtupu"""
 
Okay, siku nyingine ukiona mtu kakuita falasi ujue alitaka kukwambia f@l@ wewe

Nakuhakikishia kuwa wewe ni college kid, unajihisi umemaliza kila kitu kuingia chuo. Pole sana mdogo wangu

Nigga,been on the street corner for 10 years now...did ma eng college since 2008!

Hakuna kitu f@l@=falasi,its an oxymoronic equivalence mkuu!

Cha ajabu unaweza ukawa mdogo wangu wa mbali sana!

But hey,we are just random internet characters in here,don take things seriously,who cares!
 
Uandikaji wako wa ki facebook huwezi kuwa umemaliza 2008 kama ni hivyo basi kichwa chako hutumii kufikiri bali unatumia kufugia nywele tu
 
Uandikaji wako wa ki facebook huwezi kuwa umemaliza 2008 kama ni hivyo basi kichwa chako hutumii kufikiri bali unatumia kufugia nywele tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi sijawahi sikiliza neno kwa neno na kutafsiri katika wimbo. Huwa nasikiliza nin sijui. Ilimradi naenjoy tu
 
Wabamijoo,kilugha hicho..siyo ubane choo..[emoji23][emoji23]
 
umekosea sio 'abane choo' ni 'wabanwe choo' tafuta lyrics song kwenye account ya harmonize youtube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…