Mtoa mada kweli haujatulia umeanza kufatilia mziki kipindi hiki cha kina young D na kina Yamoto,Diamond ni msanii mkubwa sana wa kike marekani yupo level za kina Trina,Eve E etc huenda walikuwa hawamzungumzii Diamond wenu huyo...Diamond wenu kaanza kujulikana mwaka 2009 wakati Diamond Rapper demu wa marekani ameanza kujulikana tangu mwaka 2004.