Diamond anatambuliwa kama mwanamke na channel hii ya kimarekani

Diamond anatambuliwa kama mwanamke na channel hii ya kimarekani

Kuna mwanamziki wa kike anaitwa diamond white labda walikuwa wanamzungumzia hyo
 
Haaa haaa eti nimejua na dunia imejua kuwa una dstv..jf raha sana..
 
na wewe mswahili mwenzangu unamtambua kama nani?
 
Hii imesabishwa na haya majina ya A.K.A.-

Diamond .
Wana JF mnafahamu mwanamuziki Rihanna ni maarufu na ameimba muziki unaitwa 'Diamond'.
Rihanna ,ni mwanamke.hivyo wanamuziki waache kujipachika majina ya kuiga,mara kutoboa masikio!,huko duniani watu hawana uelewa na Dunia ya kwetu Afrika na hasa Tanzania,unategemea mtu wa Amerika atawaziaje?!
 
Hawezi kusaidika na chochote Kwani hilo sio jina lake halisi. Kama wangemuita kwa jina lililo kwenye kitambulisho ndio ingeleta tatizo.
 
Kumbe Diamond ni jina kike halafu ukichanganya na kile kipini puani..basi doh!

Hahaha...nimecheka sana Leo.
 
Mtoa mada kweli haujatulia umeanza kufatilia mziki kipindi hiki cha kina young D na kina Yamoto,Diamond ni msanii mkubwa sana wa kike marekani yupo level za kina Trina,Eve E etc huenda walikuwa hawamzungumzii Diamond wenu huyo...Diamond wenu kaanza kujulikana mwaka 2009 wakati Diamond Rapper demu wa marekani ameanza kujulikana tangu mwaka 2004.

Diamond hana ukubwa huo man, hapo umeongeza chumvi. Ni msanii aliyewahi kujaribu game, na haikuwa. Nadhani wimbo wake mkubwa kuwahi kushiriki ni remix ya my chick bad.
 
Back
Top Bottom