The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,675
- 2,807
Clouds walitangaza mbona toka last week?? Mtusamehe, wabongo kwa sasa tusharogwa na Darassa mtoa post nawe usijinyime weka Muziki uburudike mambo mengine Mbele kwa Mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni chombo kipi cha habari ambacho wewe ulitaka kilipoti maana hapa jamii forums ni chombo cha habari wewe umetoa na mimi ninesikiaUtadhani hili ni jambo la kawaida kwa msanii kutoka ardhi ya Tanzania akapewa heshima ya kutumbuiza uzinduzi wa mashindano makubwa kuliko yote Africa.
Diamond ameipa heshima Tanzania kwa kuwa msanii wa kwanza na pengine asitokee mwingine kutumbuiza uzinduzi wa mashindano ya AFCON. Lakini vyombo vyetu vya habari kimyaa kama hichi kitu ni cha kawaida. Sio blogs sio magazeti sio radio sio Tvs.
Wazalendo wa nchi hii tulitegemea hii habari iwe kubwa ili kuinspire hata wasanii wengine na vijana kwa ujumla. Lakini chuki roho mbaya majungu uswahili na utimu unatusumbua na kuturudisha nyuma wabongo.
Ndio maana Mrisho mpoto aliamua akaiwakilishe Kenya maana sisi wabongo buana!
Pole yako.
Hana cha kunisaidia huyo. Niwe na wivu juu yake kwa ajili gani.
Aendelee na mashindano yake.
siye tunapiga mziki
C.c CMG