Diamond anauhusiano gani na Amina Kimwana?

Diamond anauhusiano gani na Amina Kimwana?

Danpol

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
5,727
Reaction score
8,918
Kuna watu wanashangaza kidogo, siyo kwamba tunawafuata majumbani mwao na kugundua tabia zao,kwamba wanakula sana, wachoyo, wachafu au hawapatani na majirani zao, hapana, wanayoyafanya ama kuzungumza, wanatufanya tuwatambue. Lakini tunaishia kuwajua kwa majina na matukio
yao. Ukiniuliza babu Tale ni nani, fasta nitakujibu kuwa ni msaidizi wa shughuli za Diamond, Romie Jones nitakuambia ni ndugu yake Diamond, Wema Sepetu,ni usingizi wa Diamond, kwa maana ya mpenzi,lakini ukiniuliza Halima Kimwana ni nani,naweza kulipuuzia swali lako kwa maana sitambui wala kujua ni nani kwa Diamond.

Siwezi kuacha kujiuliza hivi huyu binti wa mjini ni nani kwa Diamond?rafiki, dada, shemeji yake,mpambe au nani,Au ndiye kiunganishi chake kwa wale viumbe waliosababisha aitwe sukari ya warembo?yeye ni nani haswa hata afikie hatua ya kumchagulia Diamond mpenzi wa kuwa nae,ni nani hasa hata afikie kumaindi uwepo wa Wema kwenye himaya ya Diamond,kajina kake kamezidi kukaa on ea kwa kipindi kirefu kutokana na uwepo wake karibu na Diamond,ana nguvu sana kwa Diamond, Nilipuuzia kwa muda mrefu sana nikiamini ni mtu wake wa karibu wa kumshikia poda awapo lokesheni ya video zake,au anashikilia simu zake awapo stejini,baadae nikadhani kuwa huenda ni msaidizi wa mambo binafsi ya Diamond.Lakini kufikia hatua ya kumpangia Diamond mwanamke wa kuwa nae, kidogo hapo nashindwa kuelewa, yeye ni nani kwa Diamond?

Wadau mnaojua uhusiano wa huyu dada hebu mtujuze, ni nani, anafanya shuhuli gani, naamini wote mliosoma gazeti hilo mna kiu ya kujua.
 
Ni mtafuna hela za kijana tu kama alivo hod,wema na wengineo sema kila mmoja anatumia njia yake
 
Mbangaizaji tu. Kula yake ni kumsifia Diamond kwenye mitandao
 
1. Dada wa hiyari wa diamond
2. Kipozeo - plan D
3. Kuwadi wa diamond, anamtafutia ze totoz...
4. Ni MGANGA NJAA tu kama heaven on desert

Hizo ni theory tu, but one of them must be correct.
 
Last edited by a moderator:
1. Dada wa hiyari wa diamond
2. Kipozeo - plan D
3. Kuwadi wa diamond, anamtafutia ze totoz...
4. Ni MGANGA NJAA tu kama heaven on desert

Hizo ni theory tu, but one of them must be correct.
Unaweza ukaeleza uganga njaa wangu ni upi haswa,
nimeajiriwa as an official Diamond blogger &photographer na nina lipwa vizuri so what?? ,ama kuajiriwa na Diamond ambae wengi mnachukizwa na mafaniko yake ndio kosa?afu mtu hakujui na wala hajawai kutana na wewe zaidi ya kukusoma kwenye mitandao anakusemea kana kwamba anajua maisha yako
acheni hizo bana serio
 
Last edited by a moderator:
Ni dada yake wa hiyari jamani.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Halima-Kimwana.jpg
 
Unaweza ukaeleza uganga njaa wangu ni upi haswa,
nimeajiriwa as an official Diamond blogger &photographer na nina lipwa vizuri so what?? ,ama kuajiriwa na Diamond ambae wengi mnachukizwa na mafaniko yake ndio kosa?afu mtu hakujui na wala hajawai kutana na wewe zaidi ya kukusoma kwenye mitandao anakusemea kana kwamba anajua maisha yako
acheni hizo bana serio

HOD nimependa ulivyojibu,umeonesha kuwa umekomaa kufanya kazi na wasanii.Keep it up
 
Last edited by a moderator:
Unaweza ukaeleza uganga njaa wangu ni upi haswa,
nimeajiriwa as an official Diamond blogger &photographer na nina lipwa vizuri so what?? ,ama kuajiriwa na Diamond ambae wengi mnachukizwa na mafaniko yake ndio kosa?afu mtu hakujui na wala hajawai kutana na wewe zaidi ya kukusoma kwenye mitandao anakusemea kana kwamba anajua maisha yako
acheni hizo bana serio

Mbona sikukuona huku Marekani au Romie alikuwa anakurushia matukio...?
 
Last edited by a moderator:
Unaweza ukaeleza uganga njaa wangu ni upi haswa,
nimeajiriwa as an official Diamond blogger &photographer na nina lipwa vizuri so what?? ,ama kuajiriwa na Diamond ambae wengi mnachukizwa na mafaniko yake ndio kosa?afu mtu hakujui na wala hajawai kutana na wewe zaidi ya kukusoma kwenye mitandao anakusemea kana kwamba anajua maisha yako
acheni hizo bana serio
mmh.....................?
 
Back
Top Bottom