I hate to think kwamba ni kweli Jokate ameliwa uroda na Diamond, yani nilikuwa nakaa kuamini sababu nilikuwa namkubali Jokate kwa kutoandikwa na magazeti na kutokuwa na skendo za ajabu, lakini kwa hili kaingia mkenge na niabu sana
Facts
1). Jokate ajatokea kwenye chombo chochote cha habari na kukanusha kuwa hajaliwa uroda na Diamond
2). Diamond naye ajasikika kokote akipinga kutokumla uroda Jokate
3). Immediately Diamond kaingia studio na kutunga wimbo wa nimpende nani na kumponda Wema kwa kutolewa sana kwenye magazeti kusema sio mila zake/zao. Na kumrusha Jokate kuwa ni mpole
4).
Kwenye show ya ulaya juzi kati hapo Diamond nasikia akauliza mashabiki wakati akiperform kuwa wataka yeye awe na nani kati ya Wema au Jokate
5). Mpaka Wema kwenda kwenye chombo cha habari na kusema kauli kuwa Jokate kaliwa uroda na Diamond on public tv inaashiria kuna jambo sio rahisi kukurupuka tu
6). Na the fact kwamba Wema kaondoka nyumbani kwa Diamond na kurudi kwao, ishara pia
7). Ya mwisho ni kidhibitisho cha shooting ya Mawazo wimbo mpya wa Diamond mpaka Jokate
amekubali kufanya shooting hiyo inaonesha wazi alikuwa ana/wana plan mana Jokate huwa hakubali mialiko ya shooting za kibongo kwa madai zitamshushia hadhi yake!
Raia wanabisha tu eeeh sio rahisi Jokatw kutoa uroda kwa Diamond wakati facts zinaonesha hivyo. Am Sad for both of them, dont know what they teaching their society now!!!
Like it or not ni kweli Jokate kaliwa uroda aise:closed_2: