Diamond anaulizwa Sports Arena itajengwa lini Tanzania???

Diamond anaulizwa Sports Arena itajengwa lini Tanzania???

D

DeletedMember281674

Guest
Nafikiri suala hili amuulize G. Msigwa ndiyo Katibu Mkuu mwenye Dhamana ya viwanja vya michezo Tanzania, anaweza jua Bajeti ya Bilioni ngapi imetengwa, au Mkataba wa Bilioni ngapi umesainiwa na katika huo Mkataba ni ngapi zimeongezewa pasipo Mkataba.
 
Siajenge hata yeye sihuwa ana brag kwamba ni tajiri na Ana mihela ,

Mwambie hicho sio kipaumbele Cha serikali serikali Iko busy na Afcon

Yaani watengeze Arena halafu ukute hawana wahamasishaji wazuri wa mambo ya burudank then mwisho wa siku li- Arena linakuja kuingiza hasara ya kuliendesha !!? Lazima kuwe na mpango mkakati imara kwanza nasio kukurupuka tu kisa yeye ametaka baada ya kuona Rwanda wamejenga
 
Back
Top Bottom