Diamond and Zari spent a week in Mombasa,they flew today to Nairobi to party in b-club

Diamond and Zari spent a week in Mombasa,they flew today to Nairobi to party in b-club

Diamond spent like the whole of this month in Kenya where after launching his product,chibu perfume (not popular)....bought a house in Nairobi and later went for a one week "be action" in one of Mombasa's best hotel with zari.
Today the duo flew to Nairobi to party in Africa's best club in westlands and thereafter continue with there stay in Kenya (they own a house).
Diamond, Zari on 'baecation' in Mombasa - Nairobi News
If You're Famous And Rich Like Diamond Platnumz, This Is How To Travel (Photos)
Contrarily
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Wanyama came to tz for holiday and it was all over the news in tz and even a street was named after him......exposure is important.

sent from iPhone 7
So...who is Inferior?si ni wewe unayeona Diamond kununua Nyumba apo Kibera ni news while ameshanunua Nyumba nchi safi kama South Africa na ana jumba kwenye nchi yenye space ya kutosha ya Ardhi Tanzania...Wanyama alikuja kwa ajili ya event kwa taarifa yako na iliandaliwa na Clouds Media Group so ilikua lazma ipate coverage. ..Media zenu ndio znahangaika na Diamond ad akiwa beach si Tanzania. ...kwanza malizen kwanza uchaguzi naskia mmeanza kupoteza IT managers wa Tume mnataka kuiba tena kura?kumbukeni kuna ICC..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
78% wanalala njaa huko hapo tz

sent from iPhone 7
unataka nichafue hii thread hapa kwa picha au screenshot za njaa Kenya?.
anyway sina mda huo.rudi kule kwenye ile thread yetu.haka ka-thread kako hakana hadhi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
unataka nichafue hii thread hapa kwa picha au screenshot za njaa Kenya?.
anyway sina mda huo.rudi kule kwenye ile thread yetu.haka ka-thread kako hakana hadhi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haha kuchafua? Nikete link inaonyesha njaa Kenya inafika ata 10%...hapo tz ni 78%

sent from iPhone 7
 
lol! hawa jamaa hata wanyama tu akija kwao wanatayarisha sherehe...jamaa waliosha barabara na Omo eti kwa sababu ya Obama...ndio ujue watz washamba na wajinga kweli...ingekua kenya hata hakuna anayeshugulika...awe trey songz ama angelina jolie, watu wanaenda makazini kama kawa...
Hahaha nyie dummies wakati Obama anaapishwa mkafanya National Holiday hahaha eti our fellow Kenyan rules America let us cherish and have fun

wakati wamarekani wenyewe wanachapa kazi dah kilikua ni kihoja huku Tanzania and world in general cha kushangaza his first trip in Africa ikawa Tanzania hakuruka Kenya mpaka mlivyopayuka sana mkamtishia maisha ndio akaona isiwe tabu ngoja nikawacheki hawa walalahoi huko kibera in my least last trips in office
 
Sasa kama wanyama mnaname street..si messi akikuja mtachange Nina ya nchi ikue messi

sent from iPhone 7
 
Donda ashadaisha nikae juu kanjo wanasaka wadhii wakubamba...kujaribu kumshow nini imehappen, dere ashaomoka, nganya sasa iko...
[emoji23][emoji23][emoji23]

What goes around always comes around
 
Diamond spent like the whole of this month in Kenya where after launching his product,chibu perfume (not popular)....bought a house in Nairobi and later went for a one week "be action" in one of Mombasa's best hotel with Zari.

Today the duo flew to Nairobi to party in Africa's best club in Westlands and thereafter continue with there stay in Kenya (they own a house).

Diamond, Zari on 'baecation' in Mombasa - Nairobi News
If You're Famous And Rich Like Diamond Platnumz, This Is How To Travel (Photos)
Contrarily
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Wanyama came to tz for holiday and it was all over the news in tz and even a street was named after him......exposure is important.

sent from iPhone 7
He he heeee bwana mdogo unatumia sana omo, jaribu kutumia sabuni ya vipande kupunguza povu!

Unasema wanyama alikuja ikawa habari kwenye media, wewe hii umeitoa wapi? Media zote Kenya zimeandika juu ya uwepo wa diamond hapo kenya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mbali zaidi amenunua tu kijumba lakini imekuwa habari kubwa kuliko hata zile za jubilee na NASA, mpaka eti mnatamani ahamie nairobi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ona povu la wakenya wenzio nanukuu " Diamond Platnumz’s Kenyan fans are excited with the news, hoping the star will relocate to Kenya soon" mwisho wa kunukuu.

Soma zaidi hapo Diamond Platnumz sparks excitement among his Kenyans fans after buying a humongous mansion in Nairobi,Is he moving to Kenya? (Video)
 
lol! hawa jamaa hata wanyama tu akija kwao wanatayarisha sherehe...jamaa waliosha barabara na Omo eti kwa sababu ya Obama...ndio ujue watz washamba na wajinga kweli...ingekua kenya hata hakuna anayeshugulika...awe trey songz ama angelina jolie, watu wanaenda makazini kama kawa...
We mwehu kweli, kenya akija obama hakuna anaeshughulika? Wakati kuna wakenya walilia na kumwaga michozi kisa obama kaja tz. Mlifanya mapumziko kenya kisa US wamepata prezdaa
 
Niliwatambua watz walivomdhulumu kimapenzi mgeni wao Rooney! Hawa jamaa washamba kweli. Nakumbuka Morinho alipokuja Kenya akajivinjari Mombasa siku tatu bila yeyote kushughulika naye. Wakenya huwa hawana shughuli na umbea wa peni mbili kila mtu na maisha yake. Hapa ndipo napoipendea nchi yangu!
 
Back
Top Bottom