Diamond angalia usirudie kosa hili tena kwenye biashara yako ya muziki.

Wote huku ndani wewe tu ndo wabishana na ukweli hata kama bosi wako ukweli ni kwamba ile nyimbo ALICHEMKA

Sibishani sifikirishwi naelezea mtazamo wangu, na hakuna wa kunilazimisha kuwaza kama anavyowaza yeye. Watu wengi kusapoti hoja haimaanishi ndio ipo sahihi naweza nikawa nimesimama peke yangu ila nikawa sahihi zaidi.
 
I seee!
 
Nionavyo Bum bum haijapelekwa redioni ndio maana, mitandaoni wala haijatangazwa rasmi. Imeachiwa videoni tu. Sasa uwezi jua mikakati yake ni nini lakini ni wimbo mkubwa sana.

Pengine wanataka ipate rotation ya kutosha videoni kwanza.

Ndio maana ninasema huu wimbo umefeli kabisa na hata kimkakati!
Unaweza jiuliza huu wimbo una muda gani toka video yake imetolewa? Unajua kuwa diamond ana mpango wa kutoa nyimbo nyingine?
Njia pekee iliyo takiwa kutumiwa kuokoa huo wimbo ni kuto utoa baadae na kuupa nafasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…