Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote huku ndani wewe tu ndo wabishana na ukweli hata kama bosi wako ukweli ni kwamba ile nyimbo ALICHEMKA
Pengine pamoja na mapungufu ya huu wimbo ungeweza kukubalika kama ungepewa nafasi na promo! Kosa ni kudrop nyimbo mbili
Nionavyo Bum bum haijapelekwa redioni ndio maana, mitandaoni wala haijatangazwa rasmi. Imeachiwa videoni tu. Sasa uwezi jua mikakati yake ni nini lakini ni wimbo mkubwa sana.
Pengine wanataka ipate rotation ya kutosha videoni kwanza.