Diamond angekua hivi...


most of the risk takers ni watu ambao hawana elimu, trust me!

watu wenye elimu wana calculate mambo meengi mara faida na hasara mpaka wanaogopa kuingia kwenye business!

fuatilia hilo mkuu, japo sisemi kwamba elimu haina aana, no! elimu ni muhimu sana, lakini kadri unavyosoma, ndivyo unavyojipunguzia uwezekano wa kufanya shughuli fulani katika jamii... always utawaza kwamba shughuli hizo zinakudhalilisha!

diamond nahisi mbali na kuwa na kipaji binafsi, crew nzima ambayo anayo iko vizuri! those guys follow rules, they are time followers na wanalijua soko haswaa kitu ambacho wasanii wengine hawafanyi hizo analysis!

jaribu kupitia wasanii kama juma nature na kundi lake la tmk, walikuwa na nguvu kubwa sana, lakini sasa wako wapi?

ukiuliza utaambiwa maslahi! kila mtu anataka pesa ! sasa unataka kuniambia kwa diamond kule hakuna masilahi??

maslahi yapo mkuu, its just all about good management na kujuana mipaka yako inaishia wapi na ya mwenzako inaanzia wapi!
 
maisha haya muda mwingine hayana adabu kabisa...eti kijana kakopa pesa kanunua gari hata kiwanja hana anasema oh baba amecheza hadi amestafu anakanyumba kamoja....
 
Kijana komaa ata saida kaloli kaishia darasa la 4 hila sasa hiv anaongea ngeli kama wa mamtoni vile
 
Nafikiri ukisoma halafu ukaishi maisha mabovu inaumiza sana, ila ukisoma na ukaishi vizuri inapendeza sana na kujivunia otherwise ni bora ukose elimu ukawa na mkwanja.
 
Maisha siyo shule ila shule inakupa mwanya wakutafuta maisha nakama umepata maisha ukiwa na shule basi unaendeleza maisha kwa ubunifu wa ali ya juu na kitaalamu.
Nimekosa sehem ya ku-like acha nibonyeze kengere ya getin hpa Nyumban.Ni kwel kbs maisha cyo Elim ila ukiwa na Elim utafika Mbal zaid ya hapo.
 
Naona mnaiangalia hii ishu kwa upande mmoja.......Hata kwenye hao wanamuziki wapo kwa maelfu lakini ni wangapi wana mafanikio kama ya Diamond au wengine wachahe ?

Vilevile kwenye kundi la wasomi napo kuna waliofanikiwa kiuchumi kuliko wengine.

Sio kila mwenye kipaji cha kuimba au ana phd basi amekata tiketi ya kufankiwa kimaisha, la hasha.....kuna mambo mengi yanachangia......ikiwamo muhusika mwenyewe.

Tukumbuke watu hatufanani....Kuna aina ya watu ni wazuri sana darasani lakini ukiwatoa nje ya hapo ni bure, mpe pepa, iwe ya hesabu, physics, chemistry, akipata B siku hiyo anakosa usingizi kabisa eti amefeli, lakini mtoe nje ya darasa....ingia naye kwenye maisha halisi...hajui chochote...na wakati mwingine hana hata ushauri wa maana.

Watu wa aina hii hata uwape mshahara wa shilingi milioni tatu kwa mwezi ni bure.....sanasana labda mwajiri/kampuni iamue kumsimamia kwa kumpa nyumba, usafiri, msaidizi wa kazi n.k..la sivyo basi hata kuvaa, kuoga kwake ni tatizo...........na labda itokee Mungu amsaidie apate mke/mme mwema aokoe jahazi.

Sawa sawa na msanii anaweza kuwa ni wa type hiyo hapo juu......anakuwa na ufanisi mkubwa kwa kile anachokifanya na kupata pesa nyingi tu lakini ataishia kwenye ulevi, uzinzi, mihadarati .n.k

So ni muhusika mwenyewe anaweza kuwa tatizo au mafanikio.....na sio elimu vs kipaji.
 
maisha haya muda mwingine hayana adabu kabisa...eti kijana kakopa pesa kanunua gari hata kiwanja hana anasema oh baba amecheza hadi amestafu anakanyumba kamoja....

Hahahaa huyu lzm ana matatizo mkuu!
 
Nafikiri ukisoma halafu ukaishi maisha mabovu inaumiza sana, ila ukisoma na ukaishi vizuri inapendeza sana na kujivunia otherwise ni bora ukose elimu ukawa na mkwanja.

Hahahahaha, ina-disappoint sio!
 
Wapeeee waapeeee eeh vidonge vyao wakimeza wakitema ni shauri yao .....naipenda hii taarabu ya zamani zileee

Wewe si uliniita mzaramo juzi, na wewe umegeuka mzaramo wa bagamoyo??sasa nimepata jibu kwamba wazaramo tunajuana ndo mana ilikuwa rahisi kunitambua...
 
Reactions: amu

umenena sahihi
 

umenena sahihi,,japo nipo kwa diamond coz ni msanii ninaemkubali zaidi lakin pia masirahi yaliyopo hayawez nishawishi niache kazi ,Dai anajua nini anafanya kwenye kazi yake
 

zote point mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…