Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Nimekuelewa vzr sana mkuu.
Pamoja na hoja ulizojenga lkn bado mtu mwenye elimu ana advantage kubwa ya kufanikiwa hata kama hana pesa kwa wkt huo, ujue ukiwa na elimu 'life itself is promising something', that 'promise' alone is enough.
Huo upande wa pili wa wasio na elimu lkn wana pesa zitauzungumzia kwa sasa.
most of the risk takers ni watu ambao hawana elimu, trust me!
watu wenye elimu wana calculate mambo meengi mara faida na hasara mpaka wanaogopa kuingia kwenye business!
fuatilia hilo mkuu, japo sisemi kwamba elimu haina aana, no! elimu ni muhimu sana, lakini kadri unavyosoma, ndivyo unavyojipunguzia uwezekano wa kufanya shughuli fulani katika jamii... always utawaza kwamba shughuli hizo zinakudhalilisha!
diamond nahisi mbali na kuwa na kipaji binafsi, crew nzima ambayo anayo iko vizuri! those guys follow rules, they are time followers na wanalijua soko haswaa kitu ambacho wasanii wengine hawafanyi hizo analysis!
jaribu kupitia wasanii kama juma nature na kundi lake la tmk, walikuwa na nguvu kubwa sana, lakini sasa wako wapi?
ukiuliza utaambiwa maslahi! kila mtu anataka pesa ! sasa unataka kuniambia kwa diamond kule hakuna masilahi??
maslahi yapo mkuu, its just all about good management na kujuana mipaka yako inaishia wapi na ya mwenzako inaanzia wapi!