umenena sahihi,,japo nipo kwa diamond coz ni msanii ninaemkubali zaidi lakin pia masirahi yaliyopo hayawez nishawishi niache kazi ,Dai anajua nini anafanya kwenye kazi yake
Kuna rafiki yangu doctor alinichekesha siku moja eti elimu yangu kubwa mavyeti kibao ukuta mzima maisha yangu duni hata barnaba ananishinda kudadeki! Nikamwambia sasa doctor nawewe unataka kuimba!?
Thread nzuri lakini imeletwa kimbea mbea na vidole juu sana...
Diamond yawezekana ana washauri kiasi ambao wana elimu
au, yeye mwenyewe ana vielement vya kuwa na kipaji maalum katika muziki!
Na awaida mambo huenda hivyo!
Ukikosa huku, unapatia kule kama utaweka bidii zenye ubunifu na kulijua soko lako!
Kuna rafiki yangu doctor alinichekesha siku moja eti elimu yangu kubwa mavyeti kibao ukuta mzima maisha yangu duni hata barnaba ananishinda kudadeki! Nikamwambia sasa doctor nawewe unataka kuimba!?
Mkuu we mtata sana......eti imeletwa kimbea
umenena sahihi,,japo nipo kwa diamond coz ni msanii ninaemkubali zaidi lakin pia masirahi yaliyopo hayawez nishawishi niache kazi ,Dai anajua nini anafanya kwenye kazi yake
umenena sahihi
Ama kweli life is how u make it!
Kuna mtoto wa Mbagala anajiita Diamond Platnumz, hana hata cheti cha ufundi mwashi cha VETA lkn mkwanja anaopiga hata Professor anasubiri!
Najaribu kumuwazia vp angekua na msingi mzuri wa lugha ya Kingereza, ungekuta kafanya kolabo hata na chris brown kwa jinsi anavyojituma huyu dogo, na angeshafanikiwa sana. Labda angekua anaishi kwenye villa, ila ndio hivyo tena Mungu hakupi vyote!
Sema ataikumbuka sana elimu siku akigeuka bubu!
N:B>Sisemi msisome eti wote muimbe!
Ww na masters yako ya Computer Science hata kiwanja, tena unsurveyed land huna, ndio mnaoishia kumponda dAiMonD wa watu badala ya ku-utilize elimu uliyoipata kwa maendeleo ya watu na ya kwako binafsi...
Dont hate!
Fees tsh ngapi pale British council nataka nimpeleke DogoSana sana akaze tu english course british council ili apate collabo zaidi ...kuna siku nlimsikia coke studio anamwaga ung'eng'e AMEJITAHIDI SANAA..
Hapa kuna vitu viwili ukiwa nashule alafu maisha yakawa mabovu ni "UZEMBE"Nikama kufa na kiu ukiwa Baharini nao Ni"UZEMBE"wapili Inamaana ulisoma ili ufanye nini??inabidi uwe creative don't limit your self inside the box go uot of the box ndo maana ukaitwa msomi!Nafikiri ukisoma halafu ukaishi maisha mabovu inaumiza sana, ila ukisoma na ukaishi vizuri inapendeza sana na kujivunia otherwise ni bora ukose elimu ukawa na mkwanja.
Umeona eeh...haba na haba hujaza kibaba, mdogo mdogo ataki-master tu.