Diamond angekua hivi...

Diamond angekua hivi...

umenena sahihi,,japo nipo kwa diamond coz ni msanii ninaemkubali zaidi lakin pia masirahi yaliyopo hayawez nishawishi niache kazi ,Dai anajua nini anafanya kwenye kazi yake

nawe cheza vizuri kwa hicho kipaji chako!
 
Japo watu wengine utaskia mara Dai hivi mara vile. Lkn hata hao mabinti walokwishahusiana na Dai, ukiwauliza leo Dai ni mtu wa aina gani. Watakujibu ktk maboifrend zao walokuwa nao Daimond alikuwa mtu Mzuri sana. Na wanayasema haya Kihisia zaidi.
 
Kuna rafiki yangu doctor alinichekesha siku moja eti elimu yangu kubwa mavyeti kibao ukuta mzima maisha yangu duni hata barnaba ananishinda kudadeki! Nikamwambia sasa doctor nawewe unataka kuimba!?

HAHaha eiseee nimeipenda hii nimecheka sana
 
Thread nzuri lakini imeletwa kimbea mbea na vidole juu sana...

Diamond yawezekana ana washauri kiasi ambao wana elimu

au, yeye mwenyewe ana vielement vya kuwa na kipaji maalum katika muziki!

Na awaida mambo huenda hivyo!
Ukikosa huku, unapatia kule kama utaweka bidii zenye ubunifu na kulijua soko lako!

Mkuu we mtata sana......eti imeletwa kimbea
 
Kuna rafiki yangu doctor alinichekesha siku moja eti elimu yangu kubwa mavyeti kibao ukuta mzima maisha yangu duni hata barnaba ananishinda kudadeki! Nikamwambia sasa doctor nawewe unataka kuimba!?

Hahaa, nafikiri alisahau kuwa muziki ni kazi kama udaktari na uhandisi, tena unalipa sana kama hakuna ubabaishaji
 
umenena sahihi,,japo nipo kwa diamond coz ni msanii ninaemkubali zaidi lakin pia masirahi yaliyopo hayawez nishawishi niache kazi ,Dai anajua nini anafanya kwenye kazi yake

good mkuu.. akili anazo, japo shule imempa shingo!

hivi mkuu, diamond alihitimu form four mwaka gani?
 
Ama kweli life is how u make it!

Kuna mtoto wa Mbagala anajiita Diamond Platnumz, hana hata cheti cha ufundi mwashi cha VETA lkn mkwanja anaopiga hata Professor anasubiri!

Najaribu kumuwazia vp angekua na msingi mzuri wa lugha ya Kingereza, ungekuta kafanya kolabo hata na chris brown kwa jinsi anavyojituma huyu dogo, na angeshafanikiwa sana. Labda angekua anaishi kwenye villa, ila ndio hivyo tena Mungu hakupi vyote!

Sema ataikumbuka sana elimu siku akigeuka bubu!

N:B>Sisemi msisome eti wote muimbe!

Ww na masters yako ya Computer Science hata kiwanja, tena unsurveyed land huna, ndio mnaoishia kumponda dAiMonD wa watu badala ya ku-utilize elimu uliyoipata kwa maendeleo ya watu na ya kwako binafsi...

Dont hate!

hii thread ingeazishwa na h.o.d cjui..yule msela ake diamond mngeipinga kichizz
 
Kwani kujua lugha ya mkoloni ndio green light ya kufanya joint na CB ingekua ivo wengi wanajituma na kizungu chao ht Davido hawamjui ila Diamond ame-team up nae hapa ishu akaze tu km kawaida yake anaweza ashinde uko kwny english courses na isiwe njia ya mafanikio cuz #1 rmx kapiga lugha ya JK na juzi ilikua namba 1 uko Nigeria tusikariri njia za mafanikio kuna AY ana ngoma za kutosha na mcee'z wa nje mbn kawaida hazijamfanya atoboe.
 
Sana sana akaze tu english course british council ili apate collabo zaidi ...kuna siku nlimsikia coke studio anamwaga ung'eng'e AMEJITAHIDI SANAA..
Fees tsh ngapi pale British council nataka nimpeleke Dogo
 
Nafikiri ukisoma halafu ukaishi maisha mabovu inaumiza sana, ila ukisoma na ukaishi vizuri inapendeza sana na kujivunia otherwise ni bora ukose elimu ukawa na mkwanja.
Hapa kuna vitu viwili ukiwa nashule alafu maisha yakawa mabovu ni "UZEMBE"Nikama kufa na kiu ukiwa Baharini nao Ni"UZEMBE"wapili Inamaana ulisoma ili ufanye nini??inabidi uwe creative don't limit your self inside the box go uot of the box ndo maana ukaitwa msomi!
 
Back
Top Bottom