Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Kama ni kweli yule dalali amedanganya kuwa Diamond kanunua kumbe kapangisha ni kitendo kibaya na kinaweza kumchafulia jina msanii huyo
Kuongopa aongope Dalali kuchafuka achafuke diamond ? Hilo haliwezekani katu,kwani mangapi yashasemwa ya uongozi juu ya diamond na bado jamaa ndo kwanza anatoboa !!!!???
 
Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Nadhani tushakubaliana kua ali kiba ni kishazi tegemezi maana haiwezekani post iwe ya Diamond halafu na ali kiba ajumuishwe pia
 
Nadhani tushakubaliana kua ali kiba ni kishazi tegemezi maana haiwezekani post iwe ya Diamond halafu na ali kiba ajumuishwe pia
Huwezi kuizungumzia yanga ukaacha kuitaja Simba,vilevile huwezi kuizungumzia Simba ukaacha kuitaja yanga. Diamond na kiba Ni wapinzani(rivals)) wa maendeleo ya kimuziki na kiuchumi kwa kila mmoja wao(against each other)
 
Mondi mwenyewe akitajwa bila kiba kitajwa anajisikia vinaya.

Anapenda kuwa kigezo cha mafanikio zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…