Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Mkuu hakuna anaebisha hana pesa ila dalali anageuza maneno kua kanunua,hiyo nyumba ingekua inauzwa kitambo watu wangelipia wameivizia iuze alipopata case ya ml...dalali wke ndio muongo chibu hajasema kanunua hiyo nyumba
hahaha waTZ mange kawageuza machizi sana,mpo kama mazombe na mmeletewa na dalali bado hamtaki.KWELI WIVU DONDA SUGU
 
Hapo ndio yatakuwa makao makuu ya Wasafi Radio and TV......
Mimi sikubaliani kabisa na Diamond kuwekeza hela kwenye hii biashara ya Tv na Radio bado nina doubt.
Lakini namtakia kila lenye kheri
Shughulika na pesa yako, usimpangie matumizi jinsi gani alizipata..!
 
Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Ahahhahahah u Team bwana eti alikiba anajumba mara 10 ya hyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kuuza nyimbo moja seduce Me[emoji12] [emoji12] au kwa Show Za kenya na Rwanda[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ungelikua mgawa riziki inaonekana ungewanyima wachafu wasipate na ungu anajuwa kukulaani Na kukupa umasikini
Masikini yukoje mamaa? Ulinikimbia nikiwa sina kitu rudi sasa namiliki mashamba na pesa
 
Mkuu wenye pesa wanaijua hiyo nyumba na wanasubiria jamaa aseme anauza walipe...hiyo nyumba ni zaidi ya nyumba dogo aliweka 600m kwenye ujenzi

Hiyo nyumba alikua anauza 4 years ago alikua anataka ajakosa wateja alitaka 2m usd , Gharib Bilary Enzi zile ni makamu wa rais aliipenda inunuliwe iwe hata makazi ya makamu wa rais lakini usalama wakakataa ipo ndani ndani kwa kua
 
Team kiba mnanifuhashaga sana yaan mpo kwa ajili ya kuonyesha kwamba kiba yuko juu.
Hapo hatuzungumziii nani ana nn ila tu wao km Wcb ndo wameshare nasi yeye kama hakutaka ni maamuzi yake
Hiyo ya mwanamwana ni joke tu ya JF... kind of sarcasm. Si ndivyo mashabiki wa Kiba wanavyosema kwamba "King" hapendi showoff!!!!!
 
90e6875b116e3035ef8171cb9085d287.jpg
 
Diamond ashinda tuzo usiku wa jana uko nijeria kama bestmale Africa uku categories alizokua alikiba-song of the year amerudi empty na category alokua aslay isiyaka naye kakosa ni mtanzania diamond platnumz ameibuka kidedea mbele ya mahasimu wake ikiwemo wizkid.Hongera diamond platnumz.
 
Iko fresh hii nyumba ila kama naijua siyo ipo pale kijitonyama opposite na grandvilla, nakumbuka ilijengwa fasta saana kipindi icho ilikua kama sikosei mwaka 2009 - 2010.
Ndiyo hiyo ni nyumba ya John aliijenga kwa hela ya ndaga na sasa hivi yuko jela. John alizaa na Resty mtoto wa kike na sasa hivi anasoma English Medium hivyo nyumba imepangishwa kwa WCB ili Ada ipatikane. Si kweli kuwa WCB wameinunua.
 
Kuna kazi nyingine lengo lake ni kutakatisha hela inayotokana nyingine ambayo haitakiwi kujilikana.
 
Back
Top Bottom