Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ge muongo sana hasa kwa mambo yanayomhusu MondMngepitia na post ya Mange ingependeza zaidi juu ya hiyo nyumba
hahaha waTZ mange kawageuza machizi sana,mpo kama mazombe na mmeletewa na dalali bado hamtaki.KWELI WIVU DONDA SUGUMkuu hakuna anaebisha hana pesa ila dalali anageuza maneno kua kanunua,hiyo nyumba ingekua inauzwa kitambo watu wangelipia wameivizia iuze alipopata case ya ml...dalali wke ndio muongo chibu hajasema kanunua hiyo nyumba
Shughulika na pesa yako, usimpangie matumizi jinsi gani alizipata..!Hapo ndio yatakuwa makao makuu ya Wasafi Radio and TV......
Mimi sikubaliani kabisa na Diamond kuwekeza hela kwenye hii biashara ya Tv na Radio bado nina doubt.
Lakini namtakia kila lenye kheri
Ahahhahahah u Team bwana eti alikiba anajumba mara 10 ya hyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kuuza nyimbo moja seduce Me[emoji12] [emoji12] au kwa Show Za kenya na Rwanda[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Msanii namba moja Tanzania, Diamond Platnumz ame-share picha ya jengo ambalo litatumika kama makao makuu ya ofisi za Wasafi.
Ungelikua mgawa riziki inaonekana ungewanyima wachafu wasipate na ungu anajuwa kukulaani Na kukupa umasikiniNyumba wamepanga hiyo,wachafu kwa kupenda sifa bhana ....
Kwani mange nani mjinga tu yuleDa Mange keshafafanua.
Hio nyumba wasafi wamepangisha tu
Masikini yukoje mamaa? Ulinikimbia nikiwa sina kitu rudi sasa namiliki mashamba na pesaUngelikua mgawa riziki inaonekana ungewanyima wachafu wasipate na ungu anajuwa kukulaani Na kukupa umasikini
Mkuu wenye pesa wanaijua hiyo nyumba na wanasubiria jamaa aseme anauza walipe...hiyo nyumba ni zaidi ya nyumba dogo aliweka 600m kwenye ujenzi
Hiyo ya mwanamwana ni joke tu ya JF... kind of sarcasm. Si ndivyo mashabiki wa Kiba wanavyosema kwamba "King" hapendi showoff!!!!!Team kiba mnanifuhashaga sana yaan mpo kwa ajili ya kuonyesha kwamba kiba yuko juu.
Hapo hatuzungumziii nani ana nn ila tu wao km Wcb ndo wameshare nasi yeye kama hakutaka ni maamuzi yake
Ndiyo hiyo ni nyumba ya John aliijenga kwa hela ya ndaga na sasa hivi yuko jela. John alizaa na Resty mtoto wa kike na sasa hivi anasoma English Medium hivyo nyumba imepangishwa kwa WCB ili Ada ipatikane. Si kweli kuwa WCB wameinunua.Iko fresh hii nyumba ila kama naijua siyo ipo pale kijitonyama opposite na grandvilla, nakumbuka ilijengwa fasta saana kipindi icho ilikua kama sikosei mwaka 2009 - 2010.