naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,083
Mkuu unajua bei ya show moja ya Mondi akiwa nje?unadhani kwa nini hapigi mara nyingi bongo?unajua kalipwa sh ngapi kuitangaza black bottle?dogo kayatoa maisha acha nyodo za kibongo!kupanga haimaanishi umaskini kama unajua kiuchumi nini liabilities na assetsHuyo scober ni muongo muongo na mpenda sifa angekua amemuuzia nyumba 29 basi nae scober angekua na maendeleo sio kumiliki duet gari ya 5m kma bajaji..aache kumsifu chibu kwa sifa za uongo.
Chibu angekua amenunua hiyo nyumba angehama madale kwenye mafuriko ..mkuu pesa huwa haijifichi