antoniozagarino
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 202
- 195
Kapanga. Nyumba ya jamaa yuko Jela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah maskini..alikuwa na kesi ya nini huyo John ?? Poor himJohn yupo keko huyo aliyemuuzia nan? Na jamaa alikua hauzi hiyo nyumba
unajua bilion 1 kwa sasa tanzania ni nyumba za vile nne kabisa kwa sababu vifaa viko chini mno.Kwa bilioni moja na cement ilivyoshuka bei,muuzaji kapata faida mara dufu,
hiyo inafaa milioni 500-600
Da mange amesema wamepangishaJohn yupo keko huyo aliyemuuzia nan? Na jamaa alikua hauzi hiyo nyumba
huyu mange si ndo alianza kusema hivi hivi kwenye ile nyumba ya south? yaani mange ndo awe anajua zaidi kuliko wahusika?Da mange amesema wamepangisha
Una msikiliza Mange Smh...Kapanga. Nyumba ya jamaa yuko Jela
Mkuu umeiona ndani ukajua ina nakshi nakshi gani? au umejiridhisha kwa mandhari ya nje tu! nyumba ni nje na ndani...huyo dada yenu mange kawambia ngazi zake humo ndani gold plated...hajataja vyengine hapo!unajua bilion 1 kwa sasa tanzania ni nyumba za vile nne kabisa kwa sababu vifaa viko chini mno.
Tuoneshe sehemu ambayo Sony wamesema wameiuza Kwa Kiba..? Let's solid evidence...Alikiba amenunuwa Sony ya ma billion na hataki mtuu ajuwe .. ukimuona anakuka zake bangi na mirungi huko kariakoo unamdharau tu alikiba ana mali nyingi kuliko domo
Kicha cha mada kanunua wewe unashangaaa kwamba amejenga!!!! Hivi watz nano katuloga?Siamini yaani Diamond na familia yake wanavyopenda sifa ajenge nyumba hadi kufikia hapo tusijue? Labda kama kanunua
Aliekuloga wewe usiweze kuandika, huyo huyo katuloga na SISI!! [emoji4]Kicha cha mada kanunua wewe unashangaaa kwamba amejenga!!!! Hivi watz nano katuloga?
Kwa bilioni moja na cement ilivyoshuka bei,muuzaji kapata faida mara dufu,
hiyo inafaa milioni 500-600
Hiyo ofisi yke itakua pale tabata chama alipopanga nyumbaNi hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Vipi mamiiIshiiiii
Wengi hawajakusoma vizuri,kuwa mpole wachore tu vichwa nazi.Mkuu mimi si timu Kiba, unanikosea adabu.
John yuko ndani cnc lastyear kwa kesi ya ML na kama kuuza hiyo nyumba watanunua wapigaji wenzake mana ni nyumba ya thamani sana....chibu yke iko madale hiyo nyumba hana jeuri ya kununuaNa john hana mpango wa kuiuza hiyo nyumba imekaa more than 4 yrs bila kukaliwa na mtu zaid ya walinzi inafanyiwa usafi tu,jamaa alikua anakuja kuichek then anasepa
Umenifurahisha sana na haka kausemi, huu usemi wanaelewa wachache sana[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Duuuh chibu hana hiyo jeuri mkuu tuwe wakweli...unamjua john hugo?Kanunua bilioni 1 hio best tusimchukulie poa huyu dogo spidi yake sio ya kawaida